HILI NDILO BALAA LA MAGUFULI KATIKA KAMPENI ZAKE MKOANI MBEYA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-JRVgwFkgoLU/Vd3PepoDozI/AAAAAAAH0Po/_oI5rV9HT0k/s72-c/_MG_6912.jpg)
Nyomi la Watu katika mkutano wa kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma,mkoa wa Mbeya mapema leo mchana,kwenye mkutano wa kampeni wa kuwaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Maelfu ya Wananchi wa Tunduma waliojitokeza kumsikiliza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-NlcGMpIcLx8/Vd_OcWdS6VI/AAAAAAAH0jY/Zc8CKf_U9Qw/s72-c/_MG_7232.jpg)
MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-NlcGMpIcLx8/Vd_OcWdS6VI/AAAAAAAH0jY/Zc8CKf_U9Qw/s640/_MG_7232.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-G_7R2CZSJ5w/Vd_Od88QBxI/AAAAAAAH0jg/fF28_UmPMzg/s640/_MG_7257.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-FCdBK3W0ySY/Vd_OeIW7QmI/AAAAAAAH0jk/fuV4uHrsnz4/s640/_MG_7282.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-C3E6faoOjlE/Vd_OUnbaAfI/AAAAAAAH0is/xRNlx9yIB6s/s640/_MG_7184.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oju7ZDXQeyI/VfsDRrdz49I/AAAAAAAC_SY/9I_hixaj9P4/s72-c/_MG_7449.jpg)
MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA WILAYA KASULU,BUHIGWE NA KIBONDO MKOANI KIGOMA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-oju7ZDXQeyI/VfsDRrdz49I/AAAAAAAC_SY/9I_hixaj9P4/s640/_MG_7449.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-GyJb_2WTHvY/VfsDSaTpjqI/AAAAAAAC_Sg/0-H--rM_Knc/s640/_MG_7473.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-GG_cknMxKzM/VfsDTXeWZGI/AAAAAAAC_So/Dnk3d4pzZqM/s640/_MG_7485.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-oDoUvWsbiFg/VfsDT7RUFBI/AAAAAAAC_Sw/O02Xe9b06aw/s640/_MG_7487.jpg)
9 years ago
Dewji Blog03 Oct
Magufuli aendelea na kampeni zake mkoani Singida, leo kuunguruma Singida mjini LIVE
![](http://2.bp.blogspot.com/-bW-elVYgVpA/Vg6lzCwZyII/AAAAAAADAEU/FFs4pbo6bXY/s640/_MG_1885.jpg)
PICHA NA MICHUZI JR-SINGIDA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-pD7irjHsSLg/Vg6lzrRxEKI/AAAAAAADAEY/Ssa9uPgDiF8/s640/_MG_1892.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-1N-cfVihJnE/Vg6lyvlh1fI/AAAAAAADAEI/BspUOj2-x_c/s640/_MG_1869.jpg)
9 years ago
GPLMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI KIGOMA
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...
10 years ago
Bongo Movies06 Aug
Hili Ndilo Neno la Leo Kutoka Kwa JB
Kazi yoyote unayoifanya kama utaipenda na kuweka moyo wako hapo..kisha ukaweka bidii na kujituma una asilimia kubwa ya kufanikiwa...maisha ya misheni town kwa miaka hii inayo kuja yanaweza kukuweka pabaya...Mungu akubariki...hili ndilo neno la leo toka kwa mtumishi wa bwana...jb....
Jacob Stephen ‘JB’on instagram
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-eVhScSIEhDQ/VgGH0ytqPYI/AAAAAAAC_cc/fU5BJdqILNc/s72-c/_MG_9123.jpg)
MAGUFULI AMALIZANA NA KAMPENI ZAKE KAGERA,KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA
![](http://1.bp.blogspot.com/-eVhScSIEhDQ/VgGH0ytqPYI/AAAAAAAC_cc/fU5BJdqILNc/s640/_MG_9123.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fVQHpII2AqU/VgGHv2n610I/AAAAAAAC_bk/enpYt2ateBY/s640/_MG_9005.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eVhScSIEhDQ/VgGH0ytqPYI/AAAAAAAC_cc/fU5BJdqILNc/s72-c/_MG_9123.jpg)
Dkt. MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE KAGERA, KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/1186.jpg)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mpya jukwaani kwa kupiga Push Up kama kumi hivi ili kuwadhihirishia wananchi wa Mjini Karagwe mkoani Kagera kuwa yuko fiti kiafya ili kuwatumikia watanzania mara watakapompa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani .
Huku umati wa Wakazi wa Karagwe...