Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hili Ndilo Neno la Leo Kutoka Kwa JB

Kazi yoyote unayoifanya kama utaipenda na kuweka moyo wako hapo..kisha ukaweka bidii na kujituma una asilimia kubwa ya kufanikiwa...maisha ya misheni town kwa miaka hii inayo kuja yanaweza kukuweka pabaya...Mungu akubariki...hili ndilo neno la leo toka kwa mtumishi wa bwana...jb....

Jacob Stephen ‘JB’on instagram

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kupata Nafuu, Hili ndilo Neno la Shukrani Kutoka kwa Wastara

“Shukrani kwako uliyeniumba na ukanipa pumzi ya bule bila kukulipa chochote. Asante kwa wale wote wenye kuniombea mema na kunitakia mafanikio.  Asante pia kwa wale wenye kuniombea mabaya mnanipa changamoto ambayo inanifanya nikaze buti kusaka mafanikio kwa kujua sio wote wanaonipenda nasio wote watalia  leo nikianguka kimaisha au kufa asante kwa mnaonipa ushauri . Asante mnaonifariji naamini bila watu hakuna mtu mimi ni mtu nyinyi ni watu naendelea vyema na mtaendelea kupata huduma zangu za...

 

10 years ago

Michuzi

HILI NDILO BALAA LA MAGUFULI KATIKA KAMPENI ZAKE MKOANI MBEYA LEO

 Nyomi la Watu katika mkutano wa kampeni. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma,mkoa wa Mbeya mapema leo mchana,kwenye mkutano wa kampeni wa kuwaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyika Oktoba 25  mwaka huu. Maelfu ya Wananchi wa Tunduma waliojitokeza  kumsikiliza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ujumbe wa Leo: Chukua Hili Kutoka kwa Wastara

Natamani Nijitanue Mdomo Nicheke Kidgo Hhhh Hii Picha Sijui Nimenuna au Nawaza.

Lakini Muhimu Pokea Hilo Ninalokupa Nakuhusia Sana, Usihuzunishwe na Hali ya Maisha Yako..Tazama na Jifunze kwa Viumbe Wengine,Tambua Siku Zote Ng'ombe wa Mbele Ndiye Anayechelewesha Msafara, lakini wa Nyuma Ndiye Anayechapwa Bakora, Jiamini, Usikate Tamaa, Mpite wa Mbele Ujinusuru na Bakora.MUNGU Hamtupi mja Wake, Pengine kesho ni Zamu yako. JITUME Mungu yu Pamoja Nawe.

Siku Njema!.

Wastara on Instagram

 

10 years ago

GPL

HILI NDILO CHIMBUKO LA FREEMASONS - 2

Mpenzi msomaji wiki iliyopita nilidokeza kuwa katika simulizi hii nitahakikisha najibu maswali yote ambayo yamekuwa yakiulizwa sana na wasomaji.
SASA ENDELEA… Je, mtu anawezaje kujiunga nao na kwamba kuna ukweli kuwa atapata utajiri kwa kufumba na kufumbua macho? Je, ni masharti au vigezo gani ambavyo lazima uvitimize ndiyo ujiunge nao? Fomu za kujiunga zinapatikanaje na wapi? Je, wana makao yao hapa nchini au Afrika...

 

10 years ago

GPL

HILI NDILO CHIMBUKO LA FREEMASONS - 3

Mpenzi msomaji, baada ya utambulisho juu ya hawa jamaa ni akina nani, wiki iliyopita nilianza kuangalia chimbuko lao. Nilieleza namna Freemasons walivyokuwa wakijenga mahekalu na kujumuika humo wakisimikana katika madaraja ya kimasoni, zama hizo kulikuwa na madaraja matatu tu, yaani Apprentices (wanafunzi wa mwanzo), Journeymen (wanafunzi wa kati kuelekea kuiva) na Grandmaster (waliofuzu). SASA ENDELEA… Kuchimba na kusoma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hili ndilo chaguo la Mungu!

MWAKA 2005, wakati tukiwa kwenye hekaheka za uchaguzi mkuu, lilitokea genge moja la viongozi wa dini likiongozwa na askofu mmoja maarufu wa kanisa mojawapo kubwa nchini, wakidai kuwa mgombea urais...

 

11 years ago

CloudsFM

HILI NDILO BOMU LILILOONEKANA MTWARA

Hili ni bomu ambalo jioni ya June 16 2014 kwenye kijiji cha Mdui kata ya Mawala wilaya ya Mtwara vijijini kwenye mkoa wa mtwara liliokotwa na watoto waliokuwa wakicheza karibu na eneo la makaburi.Taarifa ilitolewa Polisi baadaye ambapo baada ya wataalamu kuja na kuchunguza waligundua ni bomu la kurusha kwa mkono ambalo lina namba TNT MORTAR BOMB 60MM,LOT SOL 618 ambapo Polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi walichukua hatua za kiusalama na kwenda kulilipua porini.Kaimu kamanda wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Hili ndilo Baraza la Mawaziri tunalolitaka

>Baada ya kizaazaa cha wiki iliyopita ambapo mawaziri wanne walipoteza kazi zao kutokana na kuwajibishwa kwa vitendo vya ukatili na mauaji vilivyotokea wakati watendaji katika wizara zao walipokuwa wakiendesha ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’ nchi nzima, kinachosubiriwa na wananchi hivi sasa ni Rais Jakaya Kikwete kuunda Baraza jipya la Mawaziri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani