Ujumbe wa Leo: Chukua Hili Kutoka kwa Wastara
Natamani Nijitanue Mdomo Nicheke Kidgo Hhhh Hii Picha Sijui Nimenuna au Nawaza.
Lakini Muhimu Pokea Hilo Ninalokupa Nakuhusia Sana, Usihuzunishwe na Hali ya Maisha Yako..Tazama na Jifunze kwa Viumbe Wengine,Tambua Siku Zote Ng'ombe wa Mbele Ndiye Anayechelewesha Msafara, lakini wa Nyuma Ndiye Anayechapwa Bakora, Jiamini, Usikate Tamaa, Mpite wa Mbele Ujinusuru na Bakora.MUNGU Hamtupi mja Wake, Pengine kesho ni Zamu yako. JITUME Mungu yu Pamoja Nawe.
Siku Njema!.
Wastara on Instagram
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Baada ya Kupata Nafuu, Hili ndilo Neno la Shukrani Kutoka kwa Wastara
“Shukrani kwako uliyeniumba na ukanipa pumzi ya bule bila kukulipa chochote. Asante kwa wale wote wenye kuniombea mema na kunitakia mafanikio. Asante pia kwa wale wenye kuniombea mabaya mnanipa changamoto ambayo inanifanya nikaze buti kusaka mafanikio kwa kujua sio wote wanaonipenda nasio wote watalia leo nikianguka kimaisha au kufa asante kwa mnaonipa ushauri . Asante mnaonifariji naamini bila watu hakuna mtu mimi ni mtu nyinyi ni watu naendelea vyema na mtaendelea kupata huduma zangu za...
10 years ago
Bongo Movies06 Aug
Hili Ndilo Neno la Leo Kutoka Kwa JB
Kazi yoyote unayoifanya kama utaipenda na kuweka moyo wako hapo..kisha ukaweka bidii na kujituma una asilimia kubwa ya kufanikiwa...maisha ya misheni town kwa miaka hii inayo kuja yanaweza kukuweka pabaya...Mungu akubariki...hili ndilo neno la leo toka kwa mtumishi wa bwana...jb....
Jacob Stephen ‘JB’on instagram
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Jifunze Hili Kutoaka kwa Wastara
Kuna maisha flani hivi ayatakiwi kulazimishwa ukiona unaishi life style side A ikakukataa geuza side B coz ukipanga yako mungu anapanga yake na kuna miungu watu wanakupangia wao maisha ya kuishi namshukuru mungu na wazazi wangu walionileta duniani kiumbe mimi mbishi na mwenye akili za kujitosheleza nisiyekubali kushindwa na jambo wala kukatishwa tamaa na mtu au watu fulan ninachojua ni kusonga mbele tu na kubadili side mpka herufi ziishe......
By Wastara
10 years ago
Bongo Movies19 Jun
Ujumbe: Kama Wewe ni Kijana, Monalisa Ana Hili Kwa Ajili Yako
"Kijana,ichunge sana LEO yako.Hujui kESHO utafanya nini au utakuwa nani.KESHO itakapofika watu watakuhukumu kwa JANA yako ambayo ni LEO.Chunga sana LEO yako ndio inayokutengenezea KESHO yako." YVONNE CHERRIE
Roho yangu imenisukuma tu kukuandikia ujumbe huu..pengine nitaokoa LEO ya mtu fulani..Kila la kheri
Monalisa on Instagram
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA (WB) MAPEMA LEO
11 years ago
GPLUJUMBE MAALUM KUTOKA KWA SHIGONGO
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL, AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA HENGYANG TRANSFORMER LIMITED LEO
10 years ago
Bongo Movies25 Mar
Baada ya Kusambaa kwa Stori ya Kutoka na Aliekuwa Bwana wa Wolper , Wastara Amesema Haya
Kupitia ukurasa wake wa ‘fesibuku’ Wastara amendika;
“Kalamu ya muandishi imegeuka kuwa fimbo ya wanyonge tofauti na miaka ya nyuma,wanaandishi wanakula mishahara mara mbili wa kituoa anachofanyia kazi na wamtu anaempa habari,hivyo kuandika anachoambiwa sio anachokiona
Pesa inatumika kupotosha ukweli na ukweli ndio uongo waleo,nimeamini maneno yangekuwa sumu ningeshakufa zamani sana lakini kwakua mdomo nyumba ya maneno bado niko hai
Tupendane tushikamane na tuishi kwa usawa usipende kuonea...