Jifunze Hili Kutoaka kwa Wastara
Kuna maisha flani hivi ayatakiwi kulazimishwa ukiona unaishi life style side A ikakukataa geuza side B coz ukipanga yako mungu anapanga yake na kuna miungu watu wanakupangia wao maisha ya kuishi namshukuru mungu na wazazi wangu walionileta duniani kiumbe mimi mbishi na mwenye akili za kujitosheleza nisiyekubali kushindwa na jambo wala kukatishwa tamaa na mtu au watu fulan ninachojua ni kusonga mbele tu na kubadili side mpka herufi ziishe......
By Wastara
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies27 May
Ujumbe wa Leo: Chukua Hili Kutoka kwa Wastara
Natamani Nijitanue Mdomo Nicheke Kidgo Hhhh Hii Picha Sijui Nimenuna au Nawaza.
Lakini Muhimu Pokea Hilo Ninalokupa Nakuhusia Sana, Usihuzunishwe na Hali ya Maisha Yako..Tazama na Jifunze kwa Viumbe Wengine,Tambua Siku Zote Ng'ombe wa Mbele Ndiye Anayechelewesha Msafara, lakini wa Nyuma Ndiye Anayechapwa Bakora, Jiamini, Usikate Tamaa, Mpite wa Mbele Ujinusuru na Bakora.MUNGU Hamtupi mja Wake, Pengine kesho ni Zamu yako. JITUME Mungu yu Pamoja Nawe.
Siku Njema!.
Wastara on Instagram
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Baada ya Kupata Nafuu, Hili ndilo Neno la Shukrani Kutoka kwa Wastara
“Shukrani kwako uliyeniumba na ukanipa pumzi ya bule bila kukulipa chochote. Asante kwa wale wote wenye kuniombea mema na kunitakia mafanikio. Asante pia kwa wale wenye kuniombea mabaya mnanipa changamoto ambayo inanifanya nikaze buti kusaka mafanikio kwa kujua sio wote wanaonipenda nasio wote watalia leo nikianguka kimaisha au kufa asante kwa mnaonipa ushauri . Asante mnaonifariji naamini bila watu hakuna mtu mimi ni mtu nyinyi ni watu naendelea vyema na mtaendelea kupata huduma zangu za...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-yF_1IfhyzA4/VZTUbeQQEnI/AAAAAAAAw5g/5tNWcHk7Cw8/s72-c/wastaranabond.jpg)
Wastara: Nimeamua Kumpa Bond Nafasi ya Kunioa, Mimi Bado Damu Changa Nikisema Siwezi Kuolewa Tena Najidanganya..Nimempa Bond Sharti Hili...
![](http://4.bp.blogspot.com/-yF_1IfhyzA4/VZTUbeQQEnI/AAAAAAAAw5g/5tNWcHk7Cw8/s640/wastaranabond.jpg)
Wastara na Bond MapenziniBrighton Masalu
WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti.Akifungulia ‘koki’ ya maneno mbele ya paparazi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Wastara ambaye kwa sasa yuko bize kusaka ubunge nyumbani kwao Morogoro Vijijini, alisema hawezi kudanganya kwamba...
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Kwa nini mchungane kama mbuzi? jifunze!
NI Jumamosi nyingine tunakutana hapa kuweza kupeana darasa huru la mahaba. Hapa huwa tunajadili pamoja mada mbalimbali ambazo kimsingi zinaweza kuwa changamoto kwa wengine lakini kupitia wao tunajifunza pamoja.
Bila kupoteza muda, wiki hii tunajadili mada iliyopo mezani. Usaliti unauma. Hakuna ambaye atafurahia pindi asikiapo mwenzake amemsaliti. Ndiyo maana wapendanao hutumia nguvu nyingi sana kuhakikisha tu mwenzake hamsaliti.
Wapo ambao wanadiriki hata kuwawekea ulinzi wenza wao ili...
10 years ago
Bongo Movies31 May
JB Ampongeza Nisha kwa Jambo Hili, Nifunzo kwa Mastaa Wengine
Kutoka Mtandaoni: Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amempongeza staa mwenzake Salma Jabu ‘Nisha’ kwa jitihada zake za kuzitangaza kazi zake zaidi kupitia ukursa wake kwenye mtandao picha wa Instagram ambapo hadi leo anawatu zaidi ya laki moja na nusu wanao mfuatilia.
Napenda kuongea kutokana moyoni kwamba navutiwa na jinsi dada huyu anavyo jitahidi.hongera.kila nikipitia acc yako mara nyingi unaongelea juu ya kazi zako.hongera. endelea kupambana,”JB aliandika hayo mara baada...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiK*-MMuTX5ft9ss*sNn5dL3KsDYxLrBNWasnoqp1VjMg5eoaPOb-D0fWkhjNQScSxQD3IWgt5kMEkehQJaYeQ1d/januarymakamba.jpg?width=650)
JANUARY, KWA HILI LA UIGIZAJI SI KWA LOWASSA TU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod0sqcMujP6NPB3IpGVrreYCyoP-SX3z54A-gz21Ngme2RIamyMFSXEuik7pAV5O0q*MP6f8RGlskIYXblKKIsOC/001.jpg?width=650)
WASICHANA WERUWERU WAASWA: “FUATENI NYAYO, JIFUNZE NA KUPATA USHAURI KWA WANAWAKE WALIOFANIKIWA “
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm00nW*NtwmXWufOOHAonedn-u0FqfmRVUYcAhQFrSEv-0ayvMSANQAdvRgbUUGHKC9vnTYWMf3tEXkrc1rssjf7/wastara6.gif?width=650)
WASTARA: NITAKUFA KWA AJALI
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-58qeSDxFifo/VTIUghh_TJI/AAAAAAAAt3g/mcZCfI3MO6c/s72-c/Diamond-Platnumz-3.jpg)
KWA HILI DIAMOND UMECHEMKA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-58qeSDxFifo/VTIUghh_TJI/AAAAAAAAt3g/mcZCfI3MO6c/s640/Diamond-Platnumz-3.jpg)
Miaka kadhaa nyuma aliibuka msanii mchanga na nyimbo kali na zilizogusa mioyo ya wengi, hisia kali, mashairi yenye mpangilio na hata vina vilivyosimama kwa unadhifu, walilia wenye kulia kwa tungo hizo, wakafurahi wenye kufurahishwa na utunzi huo, vijana wakasema dah!, mshikaji ni noumaa!, ndio, hayo ndo maneno yetu vijana tukimkubali mtu, ila wazee nao wakasema Mungu amzidishie na kumbariki kijana huyu. Ndio, maneno ya wakubwa dawa bwana, na Mungu kweli akatenda, kijana akabarikiwa.Kwa mara...