Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA HILI DIAMOND UMECHEMKA.


Miaka kadhaa nyuma aliibuka msanii mchanga na nyimbo kali na zilizogusa mioyo ya wengi, hisia kali, mashairi yenye mpangilio na hata vina vilivyosimama kwa unadhifu, walilia wenye kulia kwa tungo hizo, wakafurahi wenye kufurahishwa na utunzi huo, vijana wakasema dah!, mshikaji ni noumaa!, ndio, hayo ndo maneno yetu vijana tukimkubali mtu, ila wazee nao wakasema Mungu amzidishie na kumbariki kijana huyu. Ndio, maneno ya wakubwa dawa bwana, na Mungu kweli akatenda, kijana akabarikiwa.Kwa mara...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KWA HILI DIAMOND UNASTAHILI PONGEZI!

KWAKO,
Nasibu Abdul ‘Diamond’. Pole na kazi na mihangaiko ya hapa na pale. Najua uko bize sana na shoo za kila kukicha. Siyo mbaya, ndiyo maisha, maana bila kazi inakuwa siyo maisha tena. Muda mrefu sana hatuwasiliani... nasikia siku hizi unapokea simu kwa nadra sana! Hata hivyo, siyo lengo langu kuzungumzia hayo. Ni kitambo kidogo hatujakutana kwenye barua. Naamini leo ni sahihi zaidi kukufikishia ujumbe huu. Hata...

 

10 years ago

GPL

BABU TALE, KWA HILI LA DIAMOND UMEBUGI!

MOJA ya tatizo kubwa linalowasumbua wasanii wetu, hasa hawa wa muziki wa kizazi kipya, ni ukosefu wa usimamizi makini wa kazi zao za sanaa, au kama wazungu wanavyosema, Management. Wenyewe, hasa chipukizi wanaotaka kutoka, utawasikia wanasema, nina kipaji lakini sina meneja. Ingawa wanaposema meneja maana yake ni msimamizi wa kazi zao, lakini kwao huwa na maana pana zaidi, kwamba mtu huyo, ndiye awe bosi wake, amsaidie hela ya...

 

9 years ago

GPL

KING LAURENCE, KWA HILI LA ZARI NA DIAMOND UNAJICHORESHA!

NIMEWAHI kusema huko nyuma kuwa moja kati ya vitu vinavyoturudisha sana nyuma sisi watu weusi, ni wivu, hasa wa kijinga. Wivu ni tabia kama zilivyo tabia nyingine, mtu huzaliwa nayo, ingawa wachache hujifunza ukubwani, wengi kati yao wakiwa ni tegemezi! Mtu anayejimudu mara nyingi hatawaliwi na wivu, labda uwe wa maendeleo, ambao pia sisi watu weusi tumekosa. Maisha ya aina hii yapo sana katika jamii yetu, mmoja kumchukia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kwa tukio hili, Wema sepetu na Diamond hakuna kinachoendelea tena. kila mtu kwaooooo!

diamond-na-wema

Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao, ishu ya kumwagana ilikuwepo muda mrefu lakini kinachoendelea ni kuwazuga mashabiki wao ili wasishuke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani