Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA HILI DIAMOND UNASTAHILI PONGEZI!

KWAKO,
Nasibu Abdul ‘Diamond’. Pole na kazi na mihangaiko ya hapa na pale. Najua uko bize sana na shoo za kila kukicha. Siyo mbaya, ndiyo maisha, maana bila kazi inakuwa siyo maisha tena. Muda mrefu sana hatuwasiliani... nasikia siku hizi unapokea simu kwa nadra sana! Hata hivyo, siyo lengo langu kuzungumzia hayo. Ni kitambo kidogo hatujakutana kwenye barua. Naamini leo ni sahihi zaidi kukufikishia ujumbe huu. Hata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NEY UNASTAHILI PONGEZI, WENGINE WAJIFUNZE KWAKO!

KWAKO,Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’. Mambo vipi kamanda? Habari za mishe za town? Bila shaka mambo yanakwenda poa kabisa na mchakamchaka wa maisha unaendelea kama kawa. Kama ndivyo ni vyema. Kwa upande wangu nakwenda sawa, changamoto za hapa na pale kama kawaida, kwenye maisha hazikosekani. Leo nimekukumbuka kwa barua. Najua kidogo utakuwa umeshtuka, maana wengi wanaamini barua zangu zina...

 

10 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Tanzania nchini Oman unastahili pongezi

Naibu Balozi wa Tanzania nchini Oman Juma Othaman (mwenye Kaunda suti) akipokea Tunzo ya ushiriki iliyotolewa na Mwakilishi kutoka Manispaa ya Mji wa Muscat ambao ni Waandaaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni. Tanzania imepeleka zaidi ya Watu 40 kuonesha kazi wanazoifanya za sanaa ikiwemo,Uchongaji,uchoraji na ufumaji wa nguo. Kulia ni Kiongozi wa Msafara huo Khadija Battashy na kushoto ni Msaidizi kiongozi Masha Hussein. Picha na Faki Mjaka, Muscat OmanNaibu Balozi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa hili Jiji la Arusha linastahili pongezi

Mwishoni mwa mwezi uliopita, Jiji la Arusha liliwaondoa wafanyabiashara wadogo,maarufu kama wamachinga waliokuwa wakiendesha shughuli zao mitaani na maeneo yasiyoruhusiwa kisheria.

 

10 years ago

GPL

PONGEZI KWA MSANII NASSIB ABDUL AKA DIAMOND KWA KUSHINDA TUZO TATU ZA CHOAMVA14

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini linapenda kutoa pongezi za dhati kwa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond kwa kushinda tuzo tatu kwa mkupuo za CHOAMVA zinazoendeshwa na kituo maarufu cha luninga cha Channel 0 chenye makao makuu yake Afrika Kusini. Tuzo alizoshinda Diamond ni pamoja na Most Gifted East African Artist, Most Gifted Afro Pop video na...

 

10 years ago

Vijimambo

KWA HILI DIAMOND UMECHEMKA.


Miaka kadhaa nyuma aliibuka msanii mchanga na nyimbo kali na zilizogusa mioyo ya wengi, hisia kali, mashairi yenye mpangilio na hata vina vilivyosimama kwa unadhifu, walilia wenye kulia kwa tungo hizo, wakafurahi wenye kufurahishwa na utunzi huo, vijana wakasema dah!, mshikaji ni noumaa!, ndio, hayo ndo maneno yetu vijana tukimkubali mtu, ila wazee nao wakasema Mungu amzidishie na kumbariki kijana huyu. Ndio, maneno ya wakubwa dawa bwana, na Mungu kweli akatenda, kijana akabarikiwa.Kwa mara...

 

10 years ago

GPL

BABU TALE, KWA HILI LA DIAMOND UMEBUGI!

MOJA ya tatizo kubwa linalowasumbua wasanii wetu, hasa hawa wa muziki wa kizazi kipya, ni ukosefu wa usimamizi makini wa kazi zao za sanaa, au kama wazungu wanavyosema, Management. Wenyewe, hasa chipukizi wanaotaka kutoka, utawasikia wanasema, nina kipaji lakini sina meneja. Ingawa wanaposema meneja maana yake ni msimamizi wa kazi zao, lakini kwao huwa na maana pana zaidi, kwamba mtu huyo, ndiye awe bosi wake, amsaidie hela ya...

 

9 years ago

GPL

KING LAURENCE, KWA HILI LA ZARI NA DIAMOND UNAJICHORESHA!

NIMEWAHI kusema huko nyuma kuwa moja kati ya vitu vinavyoturudisha sana nyuma sisi watu weusi, ni wivu, hasa wa kijinga. Wivu ni tabia kama zilivyo tabia nyingine, mtu huzaliwa nayo, ingawa wachache hujifunza ukubwani, wengi kati yao wakiwa ni tegemezi! Mtu anayejimudu mara nyingi hatawaliwi na wivu, labda uwe wa maendeleo, ambao pia sisi watu weusi tumekosa. Maisha ya aina hii yapo sana katika jamii yetu, mmoja kumchukia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani