Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa hili Jiji la Arusha linastahili pongezi

Mwishoni mwa mwezi uliopita, Jiji la Arusha liliwaondoa wafanyabiashara wadogo,maarufu kama wamachinga waliokuwa wakiendesha shughuli zao mitaani na maeneo yasiyoruhusiwa kisheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KWA HILI DIAMOND UNASTAHILI PONGEZI!

KWAKO,
Nasibu Abdul ‘Diamond’. Pole na kazi na mihangaiko ya hapa na pale. Najua uko bize sana na shoo za kila kukicha. Siyo mbaya, ndiyo maisha, maana bila kazi inakuwa siyo maisha tena. Muda mrefu sana hatuwasiliani... nasikia siku hizi unapokea simu kwa nadra sana! Hata hivyo, siyo lengo langu kuzungumzia hayo. Ni kitambo kidogo hatujakutana kwenye barua. Naamini leo ni sahihi zaidi kukufikishia ujumbe huu. Hata...

 

10 years ago

Habarileo

Jiji la Arusha hupoteza mil.60/- kwa mwezi

KAMATI Ndogo ya Madiwani ya Halmashauri ya Jiji la Arusha, imegundua kuwa Halmashauri ya Jiji la Arusha imekuwa ikipoteza zaidi ya Sh milioni 60 kwa mwezi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa kiasi kikubwa Bunge letu linastahili lawama

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) , kambi ya upinzani kwa nyakati tofauti wameibua mambo ya kutisha kila wanapopata fursa, lakini inaonekana kama Serikali imeweka pamba masikioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni Safisha Jiji Arusha shubiri kwa mafundi nguo

OPERESHENI Safisha Jiji ya kuwaondoa machinga wanaouza bidhaa zao barabarani ilianza mwaka 2012 kama ilivyokubalika kwenye Baraza la Madiwani wa Jiji la Arusha. Licha ya mwaka jana operesheni hiyo kufanikiwa, mwaka...

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATOA MIL.626 KWA VIKUNDI


Na.Ashura Mohamed -Arusha

Halmashauri ya Jiji la Arusha imekabidhidi Hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 626,kwa vikundi 100 vya Mikopo kwa makundi matatu ya Wanawake,Vijana na watu wenye Walemavu.

Akikabidhi Hundi hiyo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro alisema fedha hizo ni kutoka Mapato ya ndani ambapo lengo ni kuwawezesha wananchi, kiuchumi ili kutimiza Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano.


Daqqaro alisema kuwa serikali ya Sasa imekuwa ikisisitiza uwekezaji kwenye sekta ya Viwanda...

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WAMIMINIKA KWA WINGI NA KUJIUNGA NA MFUKO WA MAFAO YA KUSTAAFU WA GEPF

p2Bw Aloyce Ntukamazina Meneja Masoko kutoka katika Mfuko wa GEPF akifafanua jambo kuhusu  mafao yatolewayo na Mfuko wa GEPF katika maonesho ya wakulima ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Themi Njiro, Arusha.p1Mwanachama mpya akipata maelekezo ya namna ya kujiunga na Mfuko wa GEPF kutoka kwa Afisa wa GEPF Bi Jane Rutashobya katika maonesho ya wakulima ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Themi Njiro, Arushap4Afisa Masoko Clement Oningo akitoa maelezo kuhusu shughuli za Mfuko...

 

5 years ago

Michuzi

MEYA MSTAAFU WA JIJI LA ARUSHA AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO

Woinde Shizza, Michuzi Tv ARUSHA MEYA Mstaafu wa Halmashauri ya jiji la Arusha Kalist Lazaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo kwa jiji la Arusha katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015 hadi 2020 licha ya Halmashauri hiyo kuongozwa na upinzani.
Kalist aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha na kuwataka Wana Arusha kumuunga mkono Rais kwa hatua yake aliyoahidi na kuendelea kuahidi kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani