Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JANUARY, KWA HILI LA UIGIZAJI SI KWA LOWASSA TU

Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, January Makamba. UPO katika mwaka wa Uchaguzi Mkuu ambao utafanyika Oktoba mwaka huu, utakaoipatia nchi yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania rais wake wa tano, ambaye kwa mujibu wa katiba yetu, atakaa madarakani kwa muda usiozidi miaka kumi katika vipindi vya miaka mitano mitano. Tatizo hasa lipo CCM ambako dazani ya wanachama wake, kila mmoja anaamini anao uwezo wa kukalia kiti kile cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

JB Ampongeza Nisha kwa Jambo Hili, Nifunzo kwa Mastaa Wengine

Kutoka Mtandaoni: Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amempongeza staa mwenzake Salma Jabu ‘Nisha’ kwa jitihada zake za kuzitangaza kazi zake zaidi kupitia ukursa wake kwenye mtandao picha wa Instagram ambapo hadi leo anawatu zaidi ya laki moja na nusu wanao mfuatilia.

Napenda kuongea kutokana moyoni kwamba navutiwa na jinsi dada huyu anavyo jitahidi.hongera.kila nikipitia acc yako mara nyingi unaongelea juu ya kazi zako.hongera. endelea kupambana,”JB aliandika hayo mara baada...

 

10 years ago

Habarileo

Spika Sitta awakubali Ukawa kwa uigizaji

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta.VITA ya maneno kati ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta na kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), imeendelea na safari hii Sitta amewaita viongozi wa kundi hilo kuwa wana vipaji vya uigizaji kwa namna wanavyotoa matamko yao.

 

10 years ago

GPL

JB AELEZA ALIVYOANZA UIGIZAJI KWA KULAZIMISHWA NA MAMA’KE

WIKI iliyopita, tuliishia kwa kueleza jinsi alivyojitosa rasmi kwenye biashara ya kuuza nafaka za mahindi na mpunga akitoa katika mikoa ya Mbeya na Tanga. Tuliishia kwenye kipengele cha alipougua fangasi. Je, nini kilifuata? Endelea sasa hapa......http://bit.ly/1Vd9Uek

 

10 years ago

Mwananchi

Mjue kwa undani Maya Dela Rosa nyota wa uigizaji

Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, leo hatutakuwa na masimulizi ya Tamthiliya ya Be Careful With My Heart. Badala yake tutangalia wasifu wa mhusika mkuu katika tamthiliya hiyo, Jodi Santamaria ambaye anafahamika kama Maya dela Rosa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NICE MOHAMED ‘MTUNISI’: Msanii aliyekacha kurusha ndege kwa kunogewa uigizaji

TASNIA ya filamu ni miongoni mwa sekta ambazo zimefanikiwa kutoa ajira nyingi kwa vijana wa Kitanzania katika miaka ya hivi karibuni, hali inayosaidia kupunguza tabia za vijana kukaa vijiweni. Hata...

 

11 years ago

Dewji Blog

Washindi 3 Bora wa Shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania kwa kanda ya ziwa kupatikana leo

Majaji wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Single Mtambalike (kulia), Yvonne Chery (Katikati) na Roy Sarungi (Kushoto) wakipitia alama za washiriki kwaajili ya kuweza kuwatangaza washindi waliofanikiwa kuingia hatua ya tatu ambapo wanachukuliwa washiriki 30 kwaajili ya kupata mchujo wa washindi watatu bora ambao wataibuka na Kitita Cha Shilingi laki 5 kila Mmoja kwa Kanda ya Ziwa na baadae kujiunga na washindi wengine watatu...

 

10 years ago

GPL

JANUARY AMFUNIKA LOWASSA?

Mwandishi wetu NAIBU Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba ambaye ni mmoja wa makada wa CCM waliotangaza nia ya kuwania kuteuliwa kuwania Urais, ameibuka na ubunifu wa kisasa katika namna ya kutangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, kitu ambacho endapo kitafanikiwa atakuwa amemfunika Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa ambaye kwa sasa ndiye gumzo miongoni mwa makada waliojitokeza. Edward Lowassa. Januari,...

 

10 years ago

Vijimambo

KWA HILI DIAMOND UMECHEMKA.


Miaka kadhaa nyuma aliibuka msanii mchanga na nyimbo kali na zilizogusa mioyo ya wengi, hisia kali, mashairi yenye mpangilio na hata vina vilivyosimama kwa unadhifu, walilia wenye kulia kwa tungo hizo, wakafurahi wenye kufurahishwa na utunzi huo, vijana wakasema dah!, mshikaji ni noumaa!, ndio, hayo ndo maneno yetu vijana tukimkubali mtu, ila wazee nao wakasema Mungu amzidishie na kumbariki kijana huyu. Ndio, maneno ya wakubwa dawa bwana, na Mungu kweli akatenda, kijana akabarikiwa.Kwa mara...

 

9 years ago

Mwananchi

January amshukia Lowassa Dodoma

Aliyekuwa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Januari Makamba, jana alimshukia mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa kwamba ni mroho wa madaraka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani