Spika Sitta awakubali Ukawa kwa uigizaji
VITA ya maneno kati ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta na kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), imeendelea na safari hii Sitta amewaita viongozi wa kundi hilo kuwa wana vipaji vya uigizaji kwa namna wanavyotoa matamko yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Apr
Sitta: Niko tayari kwa mazungumzo na Ukawa
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amesema ofisi yake ipo tayari kwa mazungumzo na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ikiwa ni njia ya kuwezesha mchakato wa kutunga Katiba kuendelea kwa pamoja na kwa amani.
10 years ago
VijimamboUkawa watikisa kwa Wasira, Sitta, Membe
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetamba kutwaa vijiji na vitongoji wanavyotoka mawaziri, akiwamo Stephen Wassira (Ofisi ya Rais-Mahusiano na Uratibu);Samuel Sitta (Ushirikiano wa Afrika Mashariki) na Bernard Membe (Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa), katika matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa, yaliyotangazwa jana.
Maeneo mengine, ambayo Chadema wametamba kuyatwaa na kuwa chini ya himaya yao, ni anakotoka Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe; Naibu Waziri wa...
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Wabunge wa Ukawa walia na Spika
10 years ago
Vijimambo02 Oct
Sitta: Maaskofu ni Ukawa
Sitta alitoa kauli hiyo jana asubuhi bungeni wakati akisoma matangazo mbalimbali na kuamua kusoma waraka aliodai kuwa umetolewa na viongozi hao wa dini huku akiuhusisha na siasa za kundi la wajumbe waliosusia Bunge Maalum la Katiba kutoka...
9 years ago
GPLWIZKID AWAKUBALI DIAMOND, KIBA
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Ukawa wamgomea Samuel Sitta
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAJUMBE wa Kamati ya Mashauriano ya Bunge Maalumu la Katiba wamekutana jana kwa ajili ya kujadili hatima ya Bunge hilo linalotarajiwa kukutana Agosti 5, mwaka huu.
Kamati hiyo imekutana bila ya kuwepo kwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao pia ni wajumbe wa kamati hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho,...
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Sitta aifuata Ukawa Z’bar
9 years ago
Vijimambo01 Sep
Uzinduzi Ukawa wamtikisa Sitta.
Waziri huyo ameibuka na baadhi ya hoja hizo akizitumia kama ahadi za Chama Cha mapinduzi (CCM) kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Baadhi ya ahadi hizo zilishatolewa na Chama hicho, lakini hazijaanza kutekelezwa hadi sasa.
Akizungumza na...
10 years ago
Mtanzania06 Jun
Jinamizi la Ukawa lamtesa Sitta
NA SARAH MOSSI, DODOMA
MAKADA wengine watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samuel Sitta, Profesa Sospeter Muhongo na Dk. Titus Kamani nao wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania nafasi ya urais.
Kujitosa kwa wanasiasa hao katika kinyang’anyiro hicho kunaifanya idadi ya makada wa chama hicho waliochukua fomu kufikia 13 hadi kufikia jana.
SITTA
Sitta, ambaye ni Waziri wa Uchukuzi, ndiye aliyekuwa wa pili kuchukua fomu hiyo kwa siku ya jana, akitanguliwa na Profesa Sospeter...