Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Programu ya kuzuia ajali za kemikali

OFISI ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imezindua rasmi programu ya kuzuia na kupambana na ajali zitokanazo na kemikali, ambayo inatarajiwa kupunguza tatizo hilo hasa kutokana na ajali hizo kuongezeka. Mpango huo ambao umezinduliwa jijini Dar es Salaam unalenga kuangalia jinsi, ajali hizo zitakavyodhibitiwa kwa kuwa katika baadhi ya ajali za kemikali zilizotokea zimesababisha madhara makubwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ajali za kemikali zaua watu 14

WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), umesema mwaka jana kumetokea matukio ya ajali za kemikali 11 zilizosababisha vifo vya watu zaidi ya 14 na uharibifu wa tani zaidi ya 250 za kemikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Milioni 270 wahusika ajali za kemikali

INAKADIRIWA kuwa watu milioni 270 wanahusika na ajali za kemikali maeneo ya kazi, huku milioni 160 wanasumbuliwa na magonjwa yatokanayo na athari za kemikali kila mwaka kati ya watu bilioni...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi yataka ushirikiano kuzuia ajali

JESHI la Polisi mkoani hapa limeitaka jamii kuacha kuchoma moto vituo vya Polisi pindi zitokeapo ajali za barabarani na kueleza kuwa hilo si suluhisho bali ni uharibifu unaorudisha nyuma maendeleo.

 

9 years ago

Habarileo

Abiria wapewa namba za simu kuzuia ajali

KAMATI ya Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Mtandao wa Mabalozi wa Usalama Barabarani, imetoa namba za simu kwa abiria wakati wakizindua kampeni yao ya ‘Abiria Paza Sauti’. Kampeni hiyo inayolenga kupunguza ajali wakati wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, ilizinduliwa juzi katika stendi ndogo ya mabasi yaendayo mikoa ya Ipogolo, mjini Iringa.

 

10 years ago

Michuzi

JK ALIPOIKABIDHI VODACOM CHETI CHA KUWA MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa  Vodacom Tanzania, Bi. Rosalynn Mworia  kwa niaba ya kampuni yake  kwa kuwa mdau mkubwa wa  kuhamasisha wananchi kuhusiana na suala la kuzuia ajali barabarani. Makabidhiano hayo yalifanyika katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama  iliyomalizika hivi karibuni mjini Tanga.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AIKABIDHI VODACOM CHETI CHA KUWA MDAU MKUBWA WA KUHAMASISHA WANANCHI KUHUSIANA NA SUALA LA KUZUIA AJALI BARABARANI‏

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia kwaniaba ya kampuni yake kwakuwa mdau mkubwa wa kuhamasisha wananchi kuhusiana na suala la kuzuia ajali barabarani.Makabidhiano hayo yalifanyika katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama iliyomalizika hivi karibuni mjini Tanga. ...

 

10 years ago

Michuzi

wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kemikali mwilini mwako II

PUFF, ni neno la kiingereza likimaanisha aidha ‘…kuvuta hewa kwenda ndani ya mwili wako na hata kutoa nje wakitumia sentensi isemayo "…puff out".  Nimeliandika hivyo kwani limezoeleka kwa wavutaji wengi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kemikali za Xenon na Argon marufuku

Taasisi ya kuzuia dawa za kuongeza nguvu michezoni imezuia Xenon na argon.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani