Milioni 270 wahusika ajali za kemikali
INAKADIRIWA kuwa watu milioni 270 wanahusika na ajali za kemikali maeneo ya kazi, huku milioni 160 wanasumbuliwa na magonjwa yatokanayo na athari za kemikali kila mwaka kati ya watu bilioni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Wachezaji wa Zambia wahusika na ajali
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Uganda Cranes wahusika kwenye ajali
10 years ago
Habarileo10 Oct
Programu ya kuzuia ajali za kemikali
OFISI ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imezindua rasmi programu ya kuzuia na kupambana na ajali zitokanazo na kemikali, ambayo inatarajiwa kupunguza tatizo hilo hasa kutokana na ajali hizo kuongezeka. Mpango huo ambao umezinduliwa jijini Dar es Salaam unalenga kuangalia jinsi, ajali hizo zitakavyodhibitiwa kwa kuwa katika baadhi ya ajali za kemikali zilizotokea zimesababisha madhara makubwa.
10 years ago
Habarileo19 Feb
Ajali za kemikali zaua watu 14
WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), umesema mwaka jana kumetokea matukio ya ajali za kemikali 11 zilizosababisha vifo vya watu zaidi ya 14 na uharibifu wa tani zaidi ya 250 za kemikali.
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Ajali zaua watu milioni sita
WATU milioni sita wanakadiriwa kufa na wengine milioni 20 hadi 50 hujeruhiwa kwa ajali za barabarani kila mwaka. Takwimu hizo zimebainishwa jana na daktari bingwa wa mifupa wa Taasisi ya...
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Watu milioni 337 hupata ajali kazini
UTAFITI wa Shirika la Kazi Duniani unasema jumla ya watu milioni 337 duniani hupata ajali kila mwaka katika maeneo ya kazi na kati ya hao, milioni 2.3 hufariki dunia. Makamu...
11 years ago
Michuzi28 Jul
Jaji adai fidia ya milioni 300/= kwa ajali ya uzembe wa dereva
Amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya dereva Kamota Hassan, Michael Mosha na kampuni ya bima ya Zanzibar. Kesi hiyo itatajwa Agosti 4 mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Katika hati ya madai, Jaji Grace anaiomba mahakama iamuru walalamikiwa hao wamlipe fedha hizo kutokana...
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Wanafunzi 270 kupimwa afya
ZAIDI ya wanafunzi 270 wa Shule ya Msingi Viziwi Buguruni, jijini Dar es Salaam, wanatarajiwa kupima afya zao na kupatiwa matibabu.
Akizungumza na gazeti hili jana, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kuhudumia Viziwi Tanzania (TSD), Yasin Mawe, alisema wanafunzi hao watapimwa damu, mkojo, uzito na urefu.
"Tumeamua kuwapima afya ili kupata kumbukumbu sahihi na kufahamu maradhi yanayowasumbua ili kuwapatia dawa," alisema.
Alisema TSD kwa kushirikiana na wahisani...
10 years ago
VijimamboTAHADHARI KWA WAHUSIKA
Kampuni ya Dodsal Group DubaiTahadhari kwa Wataalam woteTahadhari kwa wafanyakazi woteTahadhari kwa Mr. Rajen Kilachand, Mwenyekiti wa Dodsal Group DubaiTahadhari kwa Dr. Jogendra Nath Sahu; Dodsal Group Dar es SalaamKampuni ya Milembe Co. LtdKwa yeyote anayejijua anahusika moja kwa moja au kusaidia.
Jina langu ni Askofu Charles Gadi, Mtumishi wa Mungu aliye Hai.
Kwa maovu yenu, natangaza kuwa ninyi wenyewe mmenifanya Mungu wenu na kwamba uovu wenu huu mlioufanya kwenye shamba langu sitahitaji...