Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachezaji wa Zambia wahusika na ajali

Wachezaji wa timu ya taifa ya Zambia waliohusika katika ajali ya barabrani Jumapili, wanasemekana kuwa katika hali nzuri.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uganda Cranes wahusika kwenye ajali

Basi lililokuwa limebeba wachezaji wa timu ya taifa ya Uganda limehusika kwenye ajali ya barabarani wakirejea Kampala baada ya kukutana na Rais Yoweri Museveni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Milioni 270 wahusika ajali za kemikali

INAKADIRIWA kuwa watu milioni 270 wanahusika na ajali za kemikali maeneo ya kazi, huku milioni 160 wanasumbuliwa na magonjwa yatokanayo na athari za kemikali kila mwaka kati ya watu bilioni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wachezaji 2 wa Ujerumani katika ajali

Wachezaji 2 wa klabu ya shalke 04 wamehusika katika ajali ya barabarani wakiwa Italia

 

10 years ago

Mwananchi

Malori ya TZ yasababisha ajali 227 nchini Zambia

>Wakati Serikali na wadau wa usafiri wakiendelea kutafuta mwarobaini wa ajali nchini, imeelezwa kuwa malori ya Tanzania yamesababisha ajali 227 nchini Zambia kati ya Januari na Mei.

 

10 years ago

GPL

AJALI MBAYA YA MOTO MPAKANI MWA ZAMBIA NA KONGO

Magari makubwa yakiwaka moto baada ya moto huo kuzuka maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo. Picha tofauti juu zikionesha baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ya moto. Ajali mbaya ya moto imetokea  jana majira ya saa kumi na moja jioni maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na…

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKUTANA NA WATANZANIA WAJASIRIAMALI WAISHIO NDOLA ZAMBIA

Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mhe Balozi Grace Mujuma tarehe 2 Julai hadi 6 Julai 2014 alifanya ziara ya kikazi ya siku nne jimbo la Copperbelt mji wa Ndola. Katika ziara hiyo, Mhe Balozi aliambatana na Afisa Ubalozi Richard M. Lupembe. Sambamba na ziara hiyo, tarehe 6 Julai 2014 Mhe Balozi alikutana na kufanya mkutano na Watanzania ambao ni wajasiriamali wadogo wadogo wanaoishi Mjini Ndola Zambia.
Katika mkutano huo, Watanzania walikuwa na mengi ya kumweleza Mhe Balozi kupitia risala...

 

9 years ago

MillardAyo

TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]

The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

TAHADHARI KWA WAHUSIKA


Kampuni ya Dodsal Group Dubai

Tahadhari kwa Wataalam wote

Tahadhari kwa wafanyakazi wote

Tahadhari kwa Mr. Rajen Kilachand, Mwenyekiti wa Dodsal Group Dubai

Tahadhari kwa Dr. Jogendra Nath Sahu; Dodsal Group Dar es Salaam

Kampuni ya Milembe Co. Ltd

Kwa yeyote anayejijua anahusika moja kwa moja au kusaidia.


Jina langu ni Askofu Charles Gadi, Mtumishi wa Mungu aliye Hai.


Kwa maovu yenu, natangaza kuwa ninyi wenyewe mmenifanya Mungu wenu na kwamba uovu wenu huu mlioufanya kwenye shamba langu sitahitaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka hatua za kisheria kwa wahusika

Wasomi, wanasiasa na wanaharakati wametaka hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa wote waliohusika na uchotwaji wa fedha katika akaunti ya escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani