Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abiria wapewa namba za simu kuzuia ajali

KAMATI ya Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Mtandao wa Mabalozi wa Usalama Barabarani, imetoa namba za simu kwa abiria wakati wakizindua kampeni yao ya ‘Abiria Paza Sauti’. Kampeni hiyo inayolenga kupunguza ajali wakati wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, ilizinduliwa juzi katika stendi ndogo ya mabasi yaendayo mikoa ya Ipogolo, mjini Iringa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Simu za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 zinapokelewa na watu walioziiba

Familia za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 wanasema simu za wapendwa wao zinapokelewa na wezi waliozichukuia kwenye eneo ilipoangakua ndege hiyo nchini Ukraine. Baadhi ya vitu vilivyosambaa baada ya ndege hiyo kudunguliwa na kuanguka Ndugu hao waliopiga simu za wapendwa wao, wameliambia gazeti moja la Uholanzi kuwa simu hizo zinapokelewa na […]

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam leo. Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...

 

10 years ago

Habarileo

Namba zote za simu kusajiliwa upya

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January MakambaSERIKALI imesema itafanya tena usajili wa namba zote za simu za mkononi nchini ili kuthibitisha zinazotumika.

 

10 years ago

GPL

WOLPER ANAONGOZA KWA KUBADILI NAMBA ZA SIMU!

Na Mwandishi Wetu
KUNA nini kwani? Staa wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper anatajwa kuongoza wasanii wenzake kwa kubadili namba za simu za mkononi huku baadhi ya mashoga zake wakijiuliza kulikoni? Staa wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper. Kwa mujibu wa rafiki mmoja wa karibu na Wolper (jina lipo), anamshangaa sana shoga yake huyo kwani amekuwa akibadili namba za simu kwa mwaka mmoja hata mara saba. “Unajua kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Haikuwa busara Rais kutumia namba ya simu ya Marekani

Serikali ya Tanzani iliwahi kutoa mwongozo wa mawasiliano yote ya wafanyakazi wa Serikali na idara zake hasa yaliyohusu baruapepe, simu na vifaa vingine vya Serikali.

 

10 years ago

Michuzi

Tumieni namba za simu kudhibiti uendeshaji holela - UDA


Miongoni mwa mabasi ya shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) yanayofanyakazi katika maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam. Na kila basi lina namba za simu ili kurahisisha abiria na watumiaji wa mabasi hayo kutoa maoni juu huduma zitolewazo na mabasi ya shirika hilo.

Abiria na watumiaji wengine wa barabara Dar es Salaam wameombwa kusaidia katika kudhibiti uendeshaji holela na tabia zisizokubalika zinazofanywa na baadhi ya madereva wa mabasi ya abiria na makondakta wa Dar es Salaam...

 

5 years ago

Mwananchi

Kumbe kuna programu ya simu ya kuficha namba za michepuko?

Mipango ya dhambi nyingi tunafanyia kwenye simu siku hizi. Ndiyo maana wengine tunajitahidi kuhakikisha tunatunza simu kama mboni ya jicho, kwamba haiguswi zaidi na yeyote - zaidi yetu wenyew.

 

10 years ago

Bongo5

Mtu ahack namba ya simu ya AY, awaomba mamilioni watu wake wa karibu

Mtu asiyejulikana amehack namba ya Tigo ya AY na kuanza kuwaomba mamilioni watu wake wa karibu. AY ambaye kwa sasa yupo jijini Nairobi, Kenya, ameiambia Bongo5 kuwa anashangaa kugundua kuwa namba yake ya simu inapatikana wakati chip anayo yeye na haipo kwenye simu. Fundi Frank ni miongoni mwa marafiki wa AY walioombwa fedha na mtu […]

 

10 years ago

CloudsFM

MTU ASIYEFAHAMIKA AME’HACK’ NAMBA YA SIMU YA FID Q NA KUWATAPELI WATU PESA

Hivi karibuni zimeenea habari za mastaa wa Kibongo namba zao za simu kuwa ‘hacked’ tukio hilo lilishamkuta msanii Snura,ambapo kwa saa zisizozidi 48 tayari mastaa wawili wa Bongo Fleva namba zao zimekua hacked,ambao ni Ambwene Yesaya ‘AY’ na Fareed Kubanda ‘Fid Q’.Mtu huyo asiyefahamika alihack namba ya simu ya FID Q na kuwapigia watu wake wa karibu msanii huyo na kuwakopa hela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani