31 wafariki kutokana na Ebola DRC
Shirika la afya duniani likishirikiana na wizara ya afya DRC imesema kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini humo umewaua watu 31.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
330 wafariki kutokana na Ebola
Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola magharibi mwa Afrika umesababisha vifo vya watu 330 tangu mwezi Februari.
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
84 wafariki kutokana na Ebola Guinea
Wataalamu wa afya nchini Guinea wamesema kuwa Watu themanini na wanne wamefariki kutokana na ugonjwa hatari wa Ebola.
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
208 wafariki kutokana na Ebola Guinea
Maafisa wa afya duniani wanaarifu kuwa watu wasiopungua 208 wameaga dunia kutokana na virusi vya Ebola nchini Guinea
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Coronavirus: Je dunia imepata funzo gani kutokana na mlipuko wa Ebola DRC?
Ni miezi miwili imepita bila kuripotiwa kwa kisa cha Ebola katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Wanne wafariki kutokana na bomu Nigeria
Ripoti kutoka Nigeria zinasema kuwa mlipuaji wa kujitolea muhanga amewaua watu wanne na kuwajeruhi wengine kadhaa
11 years ago
BBCSwahili26 Jan
20 wafariki kwenye mlipuko DRC
Watu 20 wanahofiwa kufariki kutokana na mlipuko katika ghala la silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
11 years ago
BBCSwahili26 Apr
21 wafariki nchini DRC Congo
Takriban watu 21 wamefariki baada ya kukanyagana katika sherehe za muziki nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
11 years ago
BBCSwahili25 Apr
Wengi wafariki katika mkanyagano DRC
Watu kadhaa wameripotiwa kufariki baada ya kutokea mkanyagano katika tamasha la kumkumbuka mwanamuziki maarufu wa Congo King Kester Emeneya.
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
63 wafariki katika ajali ya treni DRC
Takriban watu 63 wamefariki baada ya treni iliyokuwa imewabeba kupoteza mwelekeo Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania