21 wafariki nchini DRC Congo
Takriban watu 21 wamefariki baada ya kukanyagana katika sherehe za muziki nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMashehe wa Tanzania waliotekwa nchini Congo DRC waachiwa huru
11 years ago
BBCSwahili26 Jan
20 wafariki kwenye mlipuko DRC
Watu 20 wanahofiwa kufariki kutokana na mlipuko katika ghala la silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
31 wafariki kutokana na Ebola DRC
Shirika la afya duniani likishirikiana na wizara ya afya DRC imesema kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini humo umewaua watu 31.
11 years ago
BBCSwahili25 Apr
Wengi wafariki katika mkanyagano DRC
Watu kadhaa wameripotiwa kufariki baada ya kutokea mkanyagano katika tamasha la kumkumbuka mwanamuziki maarufu wa Congo King Kester Emeneya.
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
63 wafariki katika ajali ya treni DRC
Takriban watu 63 wamefariki baada ya treni iliyokuwa imewabeba kupoteza mwelekeo Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
Watu Congo Brazaville wakimbilia DRC
Wakimbizi kutoka Congo Brazaville wanakimbilia Congo Kinshasa. Kunani?
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Cape Verde kumenyana na Congo DRC
Mshambuliaji wa DRC Yannick Bolassie ambaye ndiye mfungaji wa bao lililosabbisha sare ya 1-1 dhidi ya Zambia anasema watashinda.
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
NGO DRC zataka MUNUSCO isijiondoe Congo
Mashirika mbali mbali ya kiraia nchini DRC yameomba majeshi ya Umoja wa Mataifa ya kulinda amani nchini humo MUNUSCO kufikiria upya mpango wake kujiondoa kupambana na kundi la waasi la FDLR.
10 years ago
VijimamboBILEKU MPASI KUTOKA CONGO (DRC) NA MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania