Mashehe wa Tanzania waliotekwa nchini Congo DRC waachiwa huru
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya kuachiwa huru kwa Mashekhe wa Tanzania waliotekwa nchini Congo DRC. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar, Balozi Silima Haji Kombo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga (kulia) wakimsikiliza Balozi Mulamula wakati akizungumza na Waandishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMASHEHE WALIOTEKWA NCHINI DRC WAACHIWA HURU
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Masheikh wa Tanzania waliotekwa DRC waachiwa
9 years ago
Habarileo05 Sep
Mashehe waliotekwa DRC warejea Dar
MASHEHE sita waliokuwa wametekwa na waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC) wamerejea nchini jana, huku wakieleza kuwa kulitaja jina la Tanzania kumewaokoa na kifo kutoka kwa waasi hao.
9 years ago
Habarileo03 Sep
Mateka wa Tanzania DRC waachiwa huru
WATANZANIA sita waliokuwa wameshikiliwa mateka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameachiwa huru usiku wa kuamkia juzi.
9 years ago
Mtanzania03 Sep
Masheikh sita waliotekwa DRC waachiwa
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
MASHEIKH sita wa Tanzania waliochukuliwa mateka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameachiwa huru usiku wa kuamkia jana.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Liberata Mulamula, alisema Balozi wa Tanzania nchini DRC kwa sasa yupo njiani kuelekea katika mji mkuu wa nchi hiyo, Goma kwa ajili ya kuwaona mateka hao.
Alisema taarifa za kutekwa watu hao zilitolewa mwanzoni mwa Agosti mwaka...
11 years ago
BBCSwahili26 Apr
21 wafariki nchini DRC Congo
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Lipumba na wenzake waachiwa huru
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Vigogo Ilala waachiwa huru
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imewaachia huru vigogo wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, John Lubuva waliokuwa wakikabiliwa na mashitaka...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Wafungwa wa Guantanamo waachiwa huru