NOAH INAYODAIWA KUTEKA WANAFUNZI JIJINI DAR YAZUA KIZAAZAA
Hofu kubwa imewakumba wakazi wa Wilaya za Ilala na Temeke, jijini Dar es Salaam kufuatia kuzagaa kwa uvumi wa kuwapo wahalifu wanaotumia gari aina ya Noah yenye rangi nyeusi na kupita shuleni na kuwateka watoto na kwenda kuwachuna ngozi. Uvumi huo ulianza kuzagaa Oktoba Mosi, mwaka huu, maeneo tofauti katika wilaya hizo, hususan katika shule za msingi.Walimu wakuu wa baadhi ya shule walithibitisha kusikia uvumi huo na hivyo, kuwapa tahadhari wanafunzi. Waandishi wa habari w walitembelea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Oct
Kova akanusha Noah kuteka watoto
WAKATI hofu juu ya usalama wa watoto katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikizidi kutanda miongoni mwa wazazi na walezi, Polisi imekanusha kuwapo kwa matukio ya utekaji nyara watoto wanaosoma shule za msingi na kufanyiwa unyama ukiwamo ulawiti, kuuawa na hata kuchunwa ngozi.
10 years ago
Mwananchi05 Dec
IPTL yazua Kizaazaa Mahakamani
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Uda yazua kizaazaa bungeni
9 years ago
Mtanzania05 Sep
Mabango ya Lowassa yazua kizaazaa
AZIZA MASOUD NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
MABANGO yenye picha ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, yanayoendelea kubandikwa katika maeneo mbalimbali nchini yamezua kizaazaa, baada ya mengine kuondolewa na wale wanaofanya kazi ya kuyaweka kutishwa na hata kuwekwa ndani na Jeshi la Polisi.
Hali hiyo imejitokeza mkoani Iringa, ambako vijana wanaofanya kazi ya kuweka mabango hayo waliwekwa ndani na Jeshi la Polisi na jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Helkopta ya Ndesamburo yazua kizaazaa
10 years ago
Vijimambo12 Dec
Ajali ya Noah iliyoua yazua kasheshe
Aidha, ajali hiyo ilizua mvutano mkubwa baada ya wahudumu na maofisa wa kituo cha afya kugoma kupokea majeruhi wakidai wapewe fedha kwanza.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Deus Nsimeki, alitaja gari hilo kuwa ni T .728 CLV na kuwa dereva wake, Kazumba Musa aliyekimbia baada ya ajali hiyo, anatafutwa.
Alisema...
11 years ago
BBCSwahili14 May
Marufuku ya Miraa UK yazua kizaazaa Kenya
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Kodi ya TRA yazua kizaazaa Bakwata
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi, ameunda timu ya uchunguzi ambayo itapitia upya mikataba yote mibovu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Pamoja na hali hiyo pia ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala wa Bakwata, Makao Makuu, Karim Majaliwa kupisha uchunguzi juu ya kadhia ya magari 82 na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mufti Zuberi ilieleza...
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Mamilioni ya Nyalandu yazua kizaazaa kanisani
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
FEDHA zinazodaiwa kutolewa katika kanisa moja Dar es Salaam na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, zimezua kizaazaaa kanisani hapo.
Nyalandu anaelezwa alichanga Sh milioni 50 kuunga mkono ujenzi wa Kanisa la ‘Holy Ghost Anglican Church’ la Kimara Resort.
Hatua hiyo imetokana na msimamo wa waumini wa kanisa hilo jana, kuibua hoja baada ya ibada ya asubuhi kanisani hapo.
Walihoji hatua ya Mchungaji wa kanisa hilo kushindwa kutoa...