Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kova akanusha Noah kuteka watoto

WAKATI hofu juu ya usalama wa watoto katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikizidi kutanda miongoni mwa wazazi na walezi, Polisi imekanusha kuwapo kwa matukio ya utekaji nyara watoto wanaosoma shule za msingi na kufanyiwa unyama ukiwamo ulawiti, kuuawa na hata kuchunwa ngozi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NOAH INAYODAIWA KUTEKA WANAFUNZI JIJINI DAR YAZUA KIZAAZAA

Hofu kubwa imewakumba wakazi wa Wilaya za Ilala na Temeke, jijini Dar es Salaam kufuatia kuzagaa kwa uvumi wa kuwapo wahalifu wanaotumia gari aina ya Noah yenye rangi nyeusi na kupita shuleni na kuwateka watoto na kwenda kuwachuna ngozi. Uvumi huo ulianza kuzagaa Oktoba Mosi, mwaka huu, maeneo tofauti katika wilaya hizo, hususan katika shule za msingi.Walimu wakuu wa baadhi ya shule walithibitisha kusikia uvumi huo na hivyo, kuwapa tahadhari wanafunzi. Waandishi wa habari w walitembelea...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE ADAIWA KUTEKA WATOTO

Mama anayefahamika kwa jina la Sara Zoya akiwa na watoto wake, Imani (14) na Leila (5). Stori: Shani Ramadhani
Mama mmoja, Sara Zoya mkazi wa Mabibo Makuburi, jijini Dar es Salaam amekimbilia polisi na kudai kuwa watoto wake walitekwa na ndugu yake  kisha kupelekwa kusikojulikana baada ya kufukuzwa kwenye nyumba yao ya familia. Sara alidai kuwa ndugu yao huyo aliyefanya kitendo hicho cha utekaji ni Hilda Zoya ambaye anadai...

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya kuteka mwanafunzi yaahirishwa

KESI ya kumteka mwanafunzi wa darasa la pili, inayomkabili Mkulima Juma Hamis (41) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa hadi Machi 18 mwaka huu itakapoendelea kusikilizwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapalestina wanashukiwa kuua na kuteka

Jeshi la Israel limesema wapalestina wawili wanashukiwa kuhusika katika kuteka na kuua vijana watatu wakiisrael mwezi juni 2014

 

10 years ago

BBCSwahili

IS wakaribia kuteka mji muhimu Syria

Mji wa wakurdi wa Kobane nchini Syria unakabiliwa na hatari kubwa ya kutekwa na wapiganaji wa Islamic State

 

11 years ago

Habarileo

Waasia 2 kortini njama za kuteka nyara

WATU wawili wenye asili ya bara la Asia, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kupanga njama za kuteka nyara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram wakiri kuteka wasichana

Kundi Boko Haram linasema kuwa ndilo lililowateka nyara wasichana 200 ambao hawajulikani waliko kwa wiki tatu sasa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab wadai kuteka askari wa Uganda

Wapiganaji wa kiislamu wa Alshabab wamesema katika maneno yao kuwa linawashikilia mateka wa kivita kutoka Uganda waliowateka wakati wa mashambulizi ya wiki iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vikosi vya Iraq vyashindwa kuteka Tiqrit

Ripoti kutoka Iraq zinaarifu kuwa vikosi vya serikali vimeshindwa kuuteka mji wa Tikrit kutoka kwa wapiganaji wa kisunni

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani