MWANAMKE ADAIWA KUTEKA WATOTO
![](http://api.ning.com:80/files/uVSra6c8ZxWxtJu7DQkSvhmzVDOc-ASnk8MMOcu9X*3hbEuDG38GMPH7j0qS2xjvKQ2HB2GYIjsLDCKa-EZVEK59B4jd3a7d/Utekaji1.jpg?width=650)
Mama anayefahamika kwa jina la Sara Zoya akiwa na watoto wake, Imani (14) na Leila (5). Stori: Shani Ramadhani Mama mmoja, Sara Zoya mkazi wa Mabibo Makuburi, jijini Dar es Salaam amekimbilia polisi na kudai kuwa watoto wake walitekwa na ndugu yake kisha kupelekwa kusikojulikana baada ya kufukuzwa kwenye nyumba yao ya familia. Sara alidai kuwa ndugu yao huyo aliyefanya kitendo hicho cha utekaji ni Hilda Zoya ambaye anadai...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Oct
Kova akanusha Noah kuteka watoto
WAKATI hofu juu ya usalama wa watoto katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikizidi kutanda miongoni mwa wazazi na walezi, Polisi imekanusha kuwapo kwa matukio ya utekaji nyara watoto wanaosoma shule za msingi na kufanyiwa unyama ukiwamo ulawiti, kuuawa na hata kuchunwa ngozi.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h04tScqf3LZkEmOmlaE4IWLBbR5Lx3q2PEQ5d*BMmjH498bVuI6JpbviL02KjGIeGPYkXCRwA3tPLShhGGqZiaxhW*mkCIEH/AFUFUKA1001.jpg?width=650)
MWANAMKE ADAIWA KUFUFUKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx*07ZctfuuCboKsuCJm2j4VNbai2VP20QU3sQzSsPQzY0mQk5sLiqS5mnsxRE2xWzH7KMnJznQcJHN3nArySLQg/mchungaji.jpg)
MCHUNGAJI ADAIWA KUMTOROSHA MWANAMKE
11 years ago
Habarileo13 Jun
Mwanamke adaiwa kumng'ata 'housegirl'
MWANAMKE aliyekuwa akituhumiwa kumng’ata msichana wake wa kazi sehemu mbalimbali za mwili , Amina Maige (42), mkazi wa Mwananyamala, Dar es Salaam amefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya kudhuru mwili.
10 years ago
Habarileo27 Oct
Mwanamke adaiwa kuiba mtoto kulinda ndoa
POLISI mkoani Rukwa wanamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chanji, Manispaa ya Sumbawanga, Magreth Juma (34) akituhumiwa kuiba mtoto wa kike mwenye umri wa siku mbili ili asiachike katika ndoa yake, kwa kuwa hajabahatika kumzalia mtoto mumewe.
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
DC adaiwa kutelekeza watoto Brazil
WACHEZAJI sita wa ‘The Dream Team’ mkoani hapa waliofanikiwa kupata nafasi na kutimiza masharti ya kupelekwa nchini Brazil kushuhudia mechi za Kombe la Dunia wamekumbana na adha baada ya kulazwa...
11 years ago
Habarileo21 Jun
Adaiwa kuhonga ubuyu kulawiti watoto
MKAZI wa mmoja wa Kijiji cha Igurubi Tarafa ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwaingilia kimwili watoto wenye umri wa chini ya miaka kumi, baada ya kuwarubuni kwa kuwapa ubuyu na Sh 500 taslimu.
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Mwanamke anayewezesha watoto Malawi
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Mwanamke aliyeanzisha shirika la kuwafaa watoto