Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE ADAIWA KUFUFUKA

MAAJABU ya dunia! Mama wa watoto watatu, Bahati Elias (35), mkazi wa Kata ya Ituwa jijini Mbeya anadaiwa kufufuka baada ya kufariki dunia kwa kuugua kichwa na kifua. Tukio hilo lilijiri Jumapili iliyopita katika Kanisa la Lulu Miracle Centre la jijini hapo ambako mwili wake ulipelekwa. Akizungumza na Amani kwa njia ya simu juzi, mchungaji wa kanisa hilo, Stanford Mwafulile alisimulia mkasa wa mwanamke huyo huku akisema hata yeye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWANAMKE ADAIWA KUTEKA WATOTO

Mama anayefahamika kwa jina la Sara Zoya akiwa na watoto wake, Imani (14) na Leila (5). Stori: Shani Ramadhani
Mama mmoja, Sara Zoya mkazi wa Mabibo Makuburi, jijini Dar es Salaam amekimbilia polisi na kudai kuwa watoto wake walitekwa na ndugu yake  kisha kupelekwa kusikojulikana baada ya kufukuzwa kwenye nyumba yao ya familia. Sara alidai kuwa ndugu yao huyo aliyefanya kitendo hicho cha utekaji ni Hilda Zoya ambaye anadai...

 

11 years ago

GPL

MCHUNGAJI ADAIWA KUMTOROSHA MWANAMKE

Stori: Denis Mtima, Chande Abdallah na Deogratius Mongella.
MCHUNGAJI mmoja wa kanisa la kiroho la Biblical lililopo Kinondoni jijini Dar es Salaam (jina tunalo), anadaiwa kumtorosha mwanamke aitwaye Catherine Paul (28) ambaye ni mfanyabiashara wa duka Tegeta jijini Dar. Picha ya Catherine Paul anayedaiwa kutoroshwa na mchungaji. Habari zinadai kuwa, wakati akiendelea na biashara hiyo, Catherine alipata ugonjwa wa ajabu...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke adaiwa kumng'ata 'housegirl'

MWANAMKE aliyekuwa akituhumiwa kumng’ata msichana wake wa kazi sehemu mbalimbali za mwili , Amina Maige (42), mkazi wa Mwananyamala, Dar es Salaam amefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya kudhuru mwili.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanamke adaiwa kuiba mtoto kulinda ndoa

POLISI mkoani Rukwa wanamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chanji, Manispaa ya Sumbawanga, Magreth Juma (34) akituhumiwa kuiba mtoto wa kike mwenye umri wa siku mbili ili asiachike katika ndoa yake, kwa kuwa hajabahatika kumzalia mtoto mumewe.

 

10 years ago

GPL

MAAJABU YA MTOTO KUFUFUKA

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
MAAJABU! Mtoto Irene Emmanuel Joseph (1) mkazi wa Kibamba-Mji Mpya jijini Dar, ameendelea kuwa gumzo kufuatia kufariki dunia Agosti, mwaka jana akiwa na miezi 9 na kudaiwa kufufuka katika mazingira ya ajabu hivi karibuni akiwa na umri wa mwaka mmoja na miezi minne, Uwazi linakuletea. ...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchumi wa Mwakaleli waanza kufufuka upya

Uchumi wa wakazi wa Bonde la Mwakaleli, mkoani Mbeya, umeanza kufufuka baada ya wakazi wake kuanzisha kilimo cha viazi mviringo na kujishughulisha na kazi za ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.

 

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

"Maisha yake ni sawasawa na mtu aliyekufa na kufufuka" kulingana na mama yake

Simulizi ya mtoto mwenye ugonjwa adimu duniani ambaye siku ngingi anajipata kuwa hspitali zaidi ya nyumbani tena chumba cha wagonjw amahutui (ICU)

 

11 years ago

GPL

TUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI

Mgeni rasmi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akihutubia kabla ya kukabidhi tuzo. Na Luqman Maloto Mwanamke wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani