Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAJABU YA MTOTO KUFUFUKA

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
MAAJABU! Mtoto Irene Emmanuel Joseph (1) mkazi wa Kibamba-Mji Mpya jijini Dar, ameendelea kuwa gumzo kufuatia kufariki dunia Agosti, mwaka jana akiwa na miezi 9 na kudaiwa kufufuka katika mazingira ya ajabu hivi karibuni akiwa na umri wa mwaka mmoja na miezi minne, Uwazi linakuletea. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAAJABU YA MTOTO WA MIUJIZA

Stori: Richard Bukos
MTOTO Happiness (10) (pichani) ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita  alizua kizazaa mjini Zanzibar baada ya kuonekana akizungumza na viumbe wa ajabu na wanyama, ametua jijini Dar kufuatia kufika kisiwani humo kimaajabu. Mtoto Happiness (10) anayedaiwa kuzua kizazaa mjini Zanzibar. Kwa mujibu wa mama mzazi wa mtoto huyo, Sarah Zefania, mwanaye Happiness alianza kuonesha maajabu Zenji tangu alipoonekana...

 

10 years ago

GPL

HAYA NDIYO MAAJABU YAKE MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU

Na Haruni Sanchawa
MTOTO Jacqueline Lepenza, aliyenusurika katika ajali mbaya ya basi lililogongana na lori huko Mafinga mkoani Iringa wiki mbili zilizopita, ameripotiwa kuwa na maajabu baada ya baba yake mzazi kujitokeza na kusimulia, Uwazi linakutaarifu. Jacqueline Lepenza, akiwa na baba'ke. Willy Lupenza, baba mzazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, alisema marehemu mke wake, Anjela Osward (35) (pichani)...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE ADAIWA KUFUFUKA

MAAJABU ya dunia! Mama wa watoto watatu, Bahati Elias (35), mkazi wa Kata ya Ituwa jijini Mbeya anadaiwa kufufuka baada ya kufariki dunia kwa kuugua kichwa na kifua. Tukio hilo lilijiri Jumapili iliyopita katika Kanisa la Lulu Miracle Centre la jijini hapo ambako mwili wake ulipelekwa. Akizungumza na Amani kwa njia ya simu juzi, mchungaji wa kanisa hilo, Stanford Mwafulile alisimulia mkasa wa mwanamke huyo huku akisema hata yeye...

 

11 years ago

Mwananchi

Uchumi wa Mwakaleli waanza kufufuka upya

Uchumi wa wakazi wa Bonde la Mwakaleli, mkoani Mbeya, umeanza kufufuka baada ya wakazi wake kuanzisha kilimo cha viazi mviringo na kujishughulisha na kazi za ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

"Maisha yake ni sawasawa na mtu aliyekufa na kufufuka" kulingana na mama yake

Simulizi ya mtoto mwenye ugonjwa adimu duniani ambaye siku ngingi anajipata kuwa hspitali zaidi ya nyumbani tena chumba cha wagonjw amahutui (ICU)

 

11 years ago

Habarileo

Maajabu ya Madiba

KATIKA uhai wake mpambanaji dhidi ya ubaguzi wa rangi duniani, Nelson Mandela, aliishangaza dunia alipotangaza msamaha kwa waliomtesa na akiwa marehemu, amekutanisha viongozi mahasimu wa kisiasa duniani katika uwanja mmoja wakimuaga. Hicho ndicho kilichomsukuma mshindi mwenzake wa Tuzo ya Nobel, Askofu Desmond Tutu, kusema Mandela alikuwa wa maajabu na alionesha maajabu akiwa hivi sasa ni marehemu.

 

11 years ago

GPL

MAAJABU YA MUNGU!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro KATIKA hali ya kushangaza, wagonjwa wa mtindio wa ubongo, Paul Ngido na Asha Yahya wanaolelewa kwenye kituo cha watoto wenye matatizo mbalimbali wakiwemo yatima cha Ngido kilichopo Mazimbu FK mkoani hapa wamejikuta wakizaa watoto wawili, Keisha na Glory ndani ya kituo hicho. Paul Ngido na Asha Yahya  wanaolelewa kwenye kituo cha watoto wenye matatizo mbalimbali waliowazaa watoto Keisha na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAAJABU YA ASALI NA MDARASINI

WASIOJUA kuhusu uwezo wa asali na mdalasini wanaweza wasiamini wakiambiwa kuwa vina uwezo wa kuzuia na kutibu magonjwa hatari yaliyoshindakana hata hospitalini. Asali na mdalasini zimekuwa zikitumika kama tiba tangu enzi na enzi.
FAIDA ZA ASALI NA MDALASINI KIAFYAAsali na mdalasini bado inaendelea kutumika kama tiba katika magonjwa ya aina mbalimbali, hasa kwa baadhi ya watu wanaoamini katika tiba mbadala kuliko tiba za kisasa, na kwa kiwango kikubwa wameweza kutibu maradhi yao bila kupata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani