MAAJABU YA ASALI NA MDARASINI
WASIOJUA kuhusu uwezo wa asali na mdalasini wanaweza wasiamini wakiambiwa kuwa vina uwezo wa kuzuia na kutibu magonjwa hatari yaliyoshindakana hata hospitalini. Asali na mdalasini zimekuwa zikitumika kama tiba tangu enzi na enzi.
FAIDA ZA ASALI NA MDALASINI KIAFYAAsali na mdalasini bado inaendelea kutumika kama tiba katika magonjwa ya aina mbalimbali, hasa kwa baadhi ya watu wanaoamini katika tiba mbadala kuliko tiba za kisasa, na kwa kiwango kikubwa wameweza kutibu maradhi yao bila kupata...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Nchi ya asili na asali
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Pengo asali chini ya ulinzi
Na Waandishi Wetu
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa na mbwa nane, waliweka doria katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika jana.
Ibada hiyo iliyoanza saa tisa jioni iliongozwa na Paroko wa Kanisa hilo, Audax Kaasa na Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyetarajiwa kuiendesha kama ratiba ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ilivyoeleza, lakini hakufanya hivyo bali alisali kama muumini wa...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Tanzania kuongeza uzalishaji wa asali
9 years ago
StarTV15 Sep
Baadhi ya wakulima waanza kuzalisha asali
Mabadiliko ya tabia ya nchi yanayosababisha ukame yamekuwa changamoto kwa wakulima mkoani Manyara hali iliyowalazimu baadhi yao kuanza kujikita katika uzalishaji wa asali.
Uzalishaji wa asali ni moja ya njia mbadala ya kutotegema kilimo cha kibiashara ambacho kinaelekea kutokua na manufaa zaidi kwa wafugaji wa nyuki.
Vijiji vya Endagaw wilayani Hanang na Bashay Mbulu ni miongoni mwa maeneo mkoani Manyara ambayo yameanza uzalishaji wa asali kama njia mbadala baada ya mazao ya kibiashara...
11 years ago
MichuziVIKUNDI 6 VYAKABIDHIWA MASHINE ZA KUKAMUA ASALI
9 years ago
Habarileo01 Nov
Pinda ataka uwekezaji zaidi ufugaji wa asali
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametaka kuongezwa kwa uwekezaji katika eneo la uzalishaji asali ili sekta hiyo itoe mchango unaostahili katika uchumi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Nchini (TABEDO) juzi, Pinda alisema sekta hiyo ikipewa kipaumbele zaidi uzalishaji utaongezeka na hivyo kutoa mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kutokana na Tanzania kuwa na maeneo mengi yanayofaa kwa ajili ya ufugaji nyuki.
11 years ago
GPLKWA NINI MAPENZI NI ASALI, VILEVILE NI SHUBIRI?
9 years ago
GPLSHOGA, NYUKI MKALI KWA ASALI YAKE
10 years ago
GPLKWA NINI MAPENZI NI ASALI, VILEVILE NI SHUBIRI?-2