Tanzania kuongeza uzalishaji wa asali
Tanzania inajipanga kuongeza uzalishaji na pato litokanalo na mazao ya nyuki kutoka wastani wa tani 19,000 za asali na tani 1,266 za nta hadi kufikia tani 138,000 za asali na tani 9,200 za nta.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Watakiwa kuongeza uzalishaji nyuki
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa ameziagiza halmashauri za wilaya za mkoa huo, kuhakikisha kuwa kila kikundi cha ufugaji nyuki kinafikisha mizinga 100 na kinachukua hatua za kuzuia uharibifu wa mazingira, ukiwemo ukataji wa miti .
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Kampuni yatoa mitambo kuongeza uzalishaji umeme
KAMPUNI ya GE Power & Water Distributed Power, imetoa vifaa viwili na mitambo minne itakayosaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa umeme kwa asilimia 15 kwa Kampuni ya Jacobsen Elektro AS,...
5 years ago
Michuzi
Kwandikwa awataka wananchi wa Bukoba kuongeza uzalishaji





5 years ago
Michuzi
SIMBACHAWENE-MASHINE MPYA KUONGEZA UZALISHAJI WA VITAMBULISHO NIDA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa wizara, jijini Dodoma, ambapo ameahidi kuwashughulikia watendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida) wasiotoa huduma stahiki kwa wananchi wanaofika kuomba vitambulisho.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dkt. Anold Kihaule (kulia) wakati wa Mkutano na...
10 years ago
Michuzi
Matumizi ya simu za mkononi kuongeza uzalishaji na mapato ya wakulima 30,000 nchini
Maelfu ya wakulima wadogo nchini wataanza kunufaika na maisha yao kuwa murua kutokana na ubunifu wa matumizi ya Teknolojia,habari na Mawasiliano ambao umelenga kuwakwamua kiuchumi,ushirikiano wa taasisi zenye lengo la kuwakomboa wakulima kupitia teknolojia umezinduliwa leo nchini.
Wakulima wadogo wa Tanzania watanufaika kiteknolojia kupitia huduma inayojulikana kama Kilimo Club.Kwa huduma hii wataweza kutumia huduma ya M-Pesa kutuma na kupokea fedha ikiwemo kufanya malipo wakati huo huo...
Wakulima wadogo wa Tanzania watanufaika kiteknolojia kupitia huduma inayojulikana kama Kilimo Club.Kwa huduma hii wataweza kutumia huduma ya M-Pesa kutuma na kupokea fedha ikiwemo kufanya malipo wakati huo huo...
5 years ago
MichuziKIWANDA CHA AFRICAB KUFUNGA MITAMBO MIPYA KUONGEZA KASI YA UZALISHAJI WA NYAYA
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati wakipewa maelezeo ya uzalishaji kiwandani.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati Dustan Kitandula akipewa maelezo na Mkurugenzi mwenza wa AFRICAB Yusuf Ezzi. kuhusu uzalishaji unaofanywa na kiwanda hicho
Mkurugenzi mwenza wa AFRICAB Yusuf Ezzi. akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati wakipewa maelezeo ya uzalishaji unaofanywa na kiwanda hicho
Mtendaji Msaidizi wa AFRICAB Gina Kunjal akifafanua ...
10 years ago
GPL
MATUMIZI YA SIMU ZA MKONONI KUONGEZA UZALISHAJI NA MAPATO YA WAKULIMA 30,000 NCHINI
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa (kulia) akiongea katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa huduma mpya yaâ€Kilimo klabuâ€inayolenga kuwawezesha wakulima wadogowadogo zaidi ya 30,000 nchini (kushoto) ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu. Jinsi ya kupata huduma hii piga nyota *149*01# chagua cheka vuna.… ...
5 years ago
Michuzi
AWESO AAGIZA RUWASA NA DAWASA KIBAHA KUONGEZA UZALISHAJI WA MAJI ILI KUONDOA MGAO KIPANGEGE
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA VIJIJINI
NAIBU Waziri Wa Maji ,Jumaa Aweso ameiagiza RUWASA na DAWASA Mkoani Pwani ,kuongeza uzalishaji wa maji na kusimamia mradi wa maji wa Kipangege Kibaha ,ili wananchi wanaondokane na tatizo la kupata maji kwa mgao ,kwani wananchi hao wamechoshwa na maji ya kudunduliza .
Aidha ameielekeza ,RUWASA Mkoani hapo ,kuhakikisha wanamuondoa msimamizi wa mradi wa maji wa Kipangege, Kibaha na kuurudisha mradi mikononi mwa Jumuiya ya watumiaji ili kuondoa kero ya...
NAIBU Waziri Wa Maji ,Jumaa Aweso ameiagiza RUWASA na DAWASA Mkoani Pwani ,kuongeza uzalishaji wa maji na kusimamia mradi wa maji wa Kipangege Kibaha ,ili wananchi wanaondokane na tatizo la kupata maji kwa mgao ,kwani wananchi hao wamechoshwa na maji ya kudunduliza .
Aidha ameielekeza ,RUWASA Mkoani hapo ,kuhakikisha wanamuondoa msimamizi wa mradi wa maji wa Kipangege, Kibaha na kuurudisha mradi mikononi mwa Jumuiya ya watumiaji ili kuondoa kero ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10