Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwandikwa awataka wananchi wa Bukoba kuongeza uzalishaji

 Muonekano wa barabara ya Kyaka-Kanazi-Kietema Km 60.65 inayotarajiwa kujengwa na Serikali kwa kiwango cha lami mkoani Kagera. Muonekano wa Kivuko cha Kyanyabasa kinachotoa huduma kwa wananchi wa Bukoba Vijijini ambacho kinatarajiwa kuboreshwa na Serikali ili kukidhi mahitaji ya eneo hilo. Mbunge wa Jimbo la Bukoba vijijini, Jasson Rweikiza akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa alipokagua kivuko cha Mv. Kyanyabasa kinachounganisha kata 18 kati ya 29 za jimbo hilo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuongeza uzalishaji nyuki

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa ameziagiza halmashauri za wilaya za mkoa huo, kuhakikisha kuwa kila kikundi cha ufugaji nyuki kinafikisha mizinga 100 na kinachukua hatua za kuzuia uharibifu wa mazingira, ukiwemo ukataji wa miti .

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania kuongeza uzalishaji wa asali

Tanzania inajipanga kuongeza uzalishaji na pato litokanalo na mazao ya nyuki kutoka wastani wa tani 19,000 za asali na tani 1,266 za nta hadi kufikia tani 138,000 za asali na tani 9,200 za nta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yatoa mitambo kuongeza uzalishaji umeme

KAMPUNI ya GE Power & Water Distributed Power, imetoa vifaa viwili na mitambo minne itakayosaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa umeme kwa asilimia 15 kwa Kampuni ya Jacobsen Elektro AS,...

 

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE-MASHINE MPYA KUONGEZA UZALISHAJI WA VITAMBULISHO NIDA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa wizara, jijini Dodoma, ambapo ameahidi kuwashughulikia watendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida) wasiotoa huduma stahiki kwa wananchi wanaofika kuomba vitambulisho.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dkt. Anold Kihaule (kulia) wakati wa Mkutano na...

 

10 years ago

Michuzi

Matumizi ya simu za mkononi kuongeza uzalishaji na mapato ya wakulima 30,000 nchini

Maelfu ya wakulima wadogo nchini wataanza kunufaika na maisha yao kuwa murua kutokana na ubunifu wa matumizi ya Teknolojia,habari na Mawasiliano ambao umelenga kuwakwamua kiuchumi,ushirikiano wa  taasisi zenye lengo la kuwakomboa wakulima kupitia teknolojia umezinduliwa leo nchini.
Wakulima wadogo wa Tanzania watanufaika kiteknolojia kupitia huduma inayojulikana kama Kilimo Club.Kwa huduma hii wataweza kutumia huduma ya M-Pesa kutuma na kupokea fedha ikiwemo kufanya malipo wakati huo huo...

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA AFRICAB KUFUNGA MITAMBO MIPYA KUONGEZA KASI YA UZALISHAJI WA NYAYA


Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati wakipewa maelezeo ya uzalishaji kiwandani.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati Dustan Kitandula akipewa maelezo na Mkurugenzi mwenza wa AFRICAB   Yusuf Ezzi. kuhusu uzalishaji unaofanywa na kiwanda hicho

Mkurugenzi mwenza wa AFRICAB Yusuf Ezzi. akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati wakipewa maelezeo ya uzalishaji unaofanywa na kiwanda hicho

Mtendaji Msaidizi wa AFRICAB Gina Kunjal akifafanua ...

 

10 years ago

GPL

MATUMIZI YA SIMU ZA MKONONI KUONGEZA UZALISHAJI NA MAPATO YA WAKULIMA 30,000 NCHINI‏

Mkuu wa  kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa (kulia) akiongea katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya”Kilimo klabu”inayolenga kuwawezesha wakulima wadogowadogo zaidi ya 30,000 nchini (kushoto) ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu. Jinsi ya kupata huduma hii piga nyota *149*01# chagua cheka vuna.… ...

 

5 years ago

Michuzi

AWESO AAGIZA RUWASA NA DAWASA KIBAHA KUONGEZA UZALISHAJI WA MAJI ILI KUONDOA MGAO KIPANGEGE

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA VIJIJINI
NAIBU Waziri Wa Maji ,Jumaa Aweso ameiagiza RUWASA na DAWASA Mkoani Pwani ,kuongeza uzalishaji wa maji na kusimamia mradi wa maji wa Kipangege Kibaha ,ili wananchi wanaondokane na  tatizo la kupata maji kwa mgao ,kwani wananchi hao wamechoshwa na maji ya kudunduliza .
Aidha ameielekeza ,RUWASA Mkoani hapo ,kuhakikisha wanamuondoa msimamizi wa mradi wa maji wa Kipangege, Kibaha na kuurudisha mradi mikononi mwa Jumuiya ya watumiaji ili kuondoa kero ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani