SIMBACHAWENE-MASHINE MPYA KUONGEZA UZALISHAJI WA VITAMBULISHO NIDA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa wizara, jijini Dodoma, ambapo ameahidi kuwashughulikia watendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida) wasiotoa huduma stahiki kwa wananchi wanaofika kuomba vitambulisho.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dkt. Anold Kihaule (kulia) wakati wa Mkutano na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
NHIF yateta na NIDA kuhusu vitambulisho

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekutana na Uongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) kwa lengo la kubadilishana uzoefu na changamoto katika suala la utambuzi wa watumiaji wa huduma za vitambulisho.
Hatua hiyo ya NHIF kukutana na uongozi huo inakusudia kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wanachama wake ambao tayari wana vitambulisho vya Taifa.
Akizungumzia hatua hiyo, Kaimu Mkurugenzi wa NHIF Bw. Michael Mhando, amesema Mfuko wake umeona kuna umuhimu mkubwa wa...
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Nida yafafanua uchukuaji vitambulisho vya taifa
11 years ago
Habarileo09 Feb
NIDA waomba uvumilivu vitambulisho vya taifa
MKURUGENZI wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu amewataka watanzania kuwa wavumilivu katika usajili wa vitambulisho ingawa inachukua muda mrefu kwa sababu kitambulisho wanachopata ni muhimu sana.
11 years ago
Habarileo18 Aug
NIDA: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesisitiza vitambulisho vya uraia, havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
5 years ago
Global Publishers21 Feb
NIDA Yatoa Vitambulisho Vya Taifa Kwa Wabunge
Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa jimbo la Musoma, Mhe.Profesa Sospeter Muhongo
akipokea Kitembulisho chake cha Taifa chenye saini kwa furaha kubwa kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Na Hifadhi Hati NIDA. Bi. Rose Mdami.
Waziri wa Katiba na na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe, akiwa mwenye furaha kubwa baada ya kuchukua Kitambulisho chake kipya Bungeni Dodoma. NIDA imeanza kutoa vitambulisho vipya vyenye saini kwa viongozi wakiwemo Waheshimiwa Wabunge zoezi linaloedelea...
5 years ago
Michuzi
NIDA ILALA YASEMA IMEPELEKA VITAMBULISHO VINGI SERIKALI ZA MITAA.

Kaimu Msajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Wilaya ya Ilala Bi Zulfa Mnyika akimuonyesha Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi Hati wa NIDA Bw. Geofrey Tengeneza baadhi ya vitambulisho ambavyo vilivyopokelewa katika ofisi hiyo kutoka kituo cha kuzalisha vitambulisho kilichoko Kibaha.

5 years ago
CCM Blog
WAZIRI SIMBACHAWENE: MITAMBO MIPYA NIDA KUFANYA KAZI HIVI KARIBUNI

Mitambo hiyo ya kisasa ambayo inauwezo wa kuzalisha vitambulisho 144,000 kwa siku, ilishafungwa muda mrefu ofisini za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), na ilipaswa iwe imenza kufanya kazi tangu mwezi Aprili, mwaka huu lakini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona ilichelewa kuanza kufanya kazi...
5 years ago
CCM Blog
MITAMBO MIPYA YA NIDA YA KUZALISHA VITAMBULISHO 180,000 KWA SIKU YAWASILI

5 years ago
MichuziNIDA YAHAKIKI UPYA MAOMBI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA YENYE CHANGAMOTO ZA URAIA
Kwa mujibu wa Afisa Habari Mkuu wa NIDA Geofrey Tengeneza, NIDA kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji, Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa,...