Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIDA YAHAKIKI UPYA MAOMBI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA YENYE CHANGAMOTO ZA URAIA

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inaendelea kutekeleza agizo la Serikali la kuhakiki kwa kina maombi yote ya waombaji wa Vitambulisho vya Taifa yenye changamoto na upungufu mbalimbali ukiwemo uraia wa waombaji ili kuondoa mianya ya udanganyifu unaoweza kujipenyeza na hivyo kutoa Vitambulisho vya raia kwa watu wasio raia wa Tanzania.
Kwa mujibu wa Afisa Habari Mkuu wa NIDA Geofrey Tengeneza, NIDA kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji, Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

NIDA: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius MallabaMAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesisitiza vitambulisho vya uraia, havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

11 years ago

Habarileo

NIDA waomba uvumilivu vitambulisho vya taifa

Mkurugenzi Mkuun wa NIDA, Dickson MaimuMKURUGENZI wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu amewataka watanzania kuwa wavumilivu katika usajili wa vitambulisho ingawa inachukua muda mrefu kwa sababu kitambulisho wanachopata ni muhimu sana.

 

11 years ago

Mwananchi

Nida yafafanua uchukuaji vitambulisho vya taifa

>Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema kila mwananchi aliyejiandikisha, atapata kitambulisho chake.

 

5 years ago

Global Publishers

NIDA Yatoa Vitambulisho Vya Taifa Kwa Wabunge

unnamed-1

 Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa jimbo la Musoma, Mhe.Profesa Sospeter Muhongo
akipokea Kitembulisho chake cha Taifa chenye saini kwa furaha kubwa kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Na Hifadhi Hati NIDA. Bi. Rose Mdami.

unnamed-2

Waziri wa Katiba na na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe, akiwa mwenye furaha kubwa baada ya kuchukua Kitambulisho chake kipya Bungeni Dodoma. NIDA imeanza kutoa vitambulisho vipya vyenye saini kwa viongozi wakiwemo Waheshimiwa Wabunge zoezi linaloedelea...

 

10 years ago

Michuzi

USAJILI WA MAOMBI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAANZA MKOA WA MOROGORO

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) Imeanza rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu Mkoa wa Morogoro pamoja na uchukuaji alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki kwa wananchi wa Wilaya ya Kilombero ambao zoezi la Ujazaji fomu za maombi ya vitambulisho lilishafanyika. Kuanza kwa usajili na Utambuzi wa Watu mkoa wa Morogoro kumefuatia kukamilika kwa zoezi kama hili mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara ambapo sambamba na usajili unaoendelea sasa mkoani Morogoro zoezi la...

 

10 years ago

Michuzi

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) yazindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara

Ndugu Joseph Makani, Mkurugenzi Mifumo ya Komputa akisoma hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, wakati wa uzinduzi wa kuanza kwa zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara.Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imezindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa wananchi na wakazi wa mkoa wa Mtwara, zoezi ambalo litadumu kwa siku 14 kuanzia Jumatatu tarehe 18/08/2014. Akizungumza katika sherehe fupi ya uzinduzi wa zoezi hilo kwa niaba...

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya uraia kuondoa usajili feki

Imeelezwa kuwa vitambulisho vya uraia vitakuwa suluhisho la usajili feki wa laini za simu katika maeneo mbalimbali nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kenya, Uganda, Rwanda wakamilisha vitambulisho vya uraia

WANANCHI wa mataifa ya Rwanda, Uganda na Kenya wamepokea kwa shangwe kuanza kwa mpango wa kutumika kwa vitambulisho vya uraia kama cheti cha kuwaruhusu kuvuka mipaka na kuingia miongoni mwa...

 

10 years ago

Habarileo

NEC: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius MallabaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesisitiza kuwa vitambulisho vya taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na tume hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani