Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius MallabaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesisitiza kuwa vitambulisho vya taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na tume hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

NIDA: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius MallabaMAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesisitiza vitambulisho vya uraia, havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

9 years ago

Mwananchi

NEC kuwasaidia waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura

Wakati zaidi ya robo tatu ya vifaa vinavyohitajika vikiwa vimewasili nchini, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inaangalia namna ya kuwasaidia waliopoteza vitambulisho vyao kushiriki kupiga kura.

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya uraia kuondoa usajili feki

Imeelezwa kuwa vitambulisho vya uraia vitakuwa suluhisho la usajili feki wa laini za simu katika maeneo mbalimbali nchini.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sauti:Elimu ya uraia (kupiga kura uchaguzi)

Sikiliza repoti ya Salma Said:

The post Sauti:Elimu ya uraia (kupiga kura uchaguzi) appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kenya, Uganda, Rwanda wakamilisha vitambulisho vya uraia

WANANCHI wa mataifa ya Rwanda, Uganda na Kenya wamepokea kwa shangwe kuanza kwa mpango wa kutumika kwa vitambulisho vya uraia kama cheti cha kuwaruhusu kuvuka mipaka na kuingia miongoni mwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Waliopoteza vitambulisho watapiga kura — NEC

Lubuva+PHOTONA JONAS MUSHI, DAR ES SAALAM

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura wataweza kupiga kura endapo watakuwa na taarifa ya polisi  na majina yao kuwamo katika  daftari la mpiga kura.

Hayo yalielezwa Dar es Salaam jana na Kamishna wa NEC, Mary Stelalongwe alipotoa ufafanuzi kuhusu  watu wanaozunguka mitaani kuandika namba za vitambulisho vya wapiga kura.

Alionya kuwa kufanya hivyo ni kosa ingawa alisema  NEC haina  taarifa rasmi ya matukio hayo.

Wakati...

 

5 years ago

Michuzi

NIDA YAHAKIKI UPYA MAOMBI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA YENYE CHANGAMOTO ZA URAIA

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inaendelea kutekeleza agizo la Serikali la kuhakiki kwa kina maombi yote ya waombaji wa Vitambulisho vya Taifa yenye changamoto na upungufu mbalimbali ukiwemo uraia wa waombaji ili kuondoa mianya ya udanganyifu unaoweza kujipenyeza na hivyo kutoa Vitambulisho vya raia kwa watu wasio raia wa Tanzania.
Kwa mujibu wa Afisa Habari Mkuu wa NIDA Geofrey Tengeneza, NIDA kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji, Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa,...

 

10 years ago

Habarileo

NEC yaachiwa uamuzi siku ya kupiga kura

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva.TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeachiwa jukumu la kuamua siku ya kufanyika Uchaguzi Mkuu baada ya wabunge kutaka uchaguzi usiwe unafanyika katika siku za kuabudu ambazo ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.

 

9 years ago

GPL

NEC; ALIYETIMIZA MASHARTI ASIZUIWE KUPIGA KURA

Mungu ni mwema, ndivyo ninavyoanza kusema katika makala haya, tumshukuru kwa amani tuliyonayo nchini hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Nchi nzima ipo katika mchakato wa kuwapata viongozi kwa njia ya kura kwa nafasi mbalimbali za kisiasa kupitia vyama vyao vya siasa, wakati hayo yakiendelea kumekuwepo na taarifa za mchakato huo kufanyika katika hali ya amani na utulivu katika maeneo mengi nchini, isipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani