NEC kuwasaidia waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura
Wakati zaidi ya robo tatu ya vifaa vinavyohitajika vikiwa vimewasili nchini, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inaangalia namna ya kuwasaidia waliopoteza vitambulisho vyao kushiriki kupiga kura.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Waliopoteza vitambulisho watapiga kura — NEC
NA JONAS MUSHI, DAR ES SAALAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura wataweza kupiga kura endapo watakuwa na taarifa ya polisi na majina yao kuwamo katika daftari la mpiga kura.
Hayo yalielezwa Dar es Salaam jana na Kamishna wa NEC, Mary Stelalongwe alipotoa ufafanuzi kuhusu watu wanaozunguka mitaani kuandika namba za vitambulisho vya wapiga kura.
Alionya kuwa kufanya hivyo ni kosa ingawa alisema NEC haina taarifa rasmi ya matukio hayo.
Wakati...
11 years ago
CloudsFM20 Jun
VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA KUTOLEWA UPYA
VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wapigakura. Mchakato huo wa kutoa vitambulisho upya, utakaotekelezwa Septemba mwaka huu, utagharimu Sh bilioni 293 .
Tofauti na vitambulisho vya awali vya karatasi vilivyotolewa kwa mara ya kwanza mwaka 2004, vipya vitakuwa vya plastiki. Vimebadilishwa kutokana na matumizi ya teknolojia mpya katika uandikishaji.
Teknolojia itakayotumika ni ya Biometric Voter...
10 years ago
MichuziRAIA WAKIGENI 2040 WAKAMATWA WAKIWA NA VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
9 years ago
Michuzi22 Oct
TAARIFA KUHUSU WALIOPOTEZA KADI ZAO ZA KUPIGIA KURA
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/FL2sjZNyU5BB3WZGSsGvpzASlGhK4JwHhvYEvsYmg_nQM7PwR78af7S5fIakgXmWT4js4yENj_yUch3SjpGrF6o06HIOLk7ycZDlbofb5W38em0sITwbnKDeec5Oz4j3j_j5yEWbpD_CFF0ka4x2uiayug031cleVzYJjdAg=s0-d-e1-ft#http://mobile.mwananchi.co.tz/image/view/-/2924186/medRes/1154732/-/an7sjm/-/Kura+Photo.jpg?format=xhtml)
OFISI Usambazaji na Ugavi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Eliud Njaila akiwaonyesha waandishi wa habari vizimba vya kupigia kura siku ya uchaguzi. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.
Akizungumza katika mkutano wa vyama vya siasa na NEC mjini Dodoma leo, Ofisa Mwandamizi wa tume hiyo William Kitebi, amesema watu hao hawataruhusiwa hata kama majina na...
10 years ago
Habarileo18 Aug
NEC: Vitambulisho vya uraia havitatumika kupiga kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesisitiza kuwa vitambulisho vya taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na tume hiyo.
9 years ago
Mwananchi01 Oct
NEC: Kalamu yoyote inaruhusiwa kupigia kura
10 years ago
Mwananchi08 Aug
NEC: Marufuku kutoa kadi ya kupigia kura
9 years ago
Mwananchi28 Aug
NEC ifanyie kazi tuhuma za kadi za kupigia kura