NEC: Kalamu yoyote inaruhusiwa kupigia kura
Ili kuondoa shaka miongoni mwa wananchi kutokana na tetesi zinazosambazwa juu ya ubora wa kalamu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kila mtu anaruhusiwa kuja na kalamu yake kupigia kura Oktoba 25, mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi01 Oct
NEC:UTAPIGA KURA KWA KALAMU YOYOTE UTAKAYOITAKA

Ili kuondoa shaka miongoni mwa wananchi kutokana na tetesi zinazosambazwa juu ya ubora wa kalamu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kila mtu anaruhusiwa kuja na kalamu yake kupigia kura Oktoba 25, mwaka huu.Kauli hiyo imetolewa leo na NEC wakati ilipofanya mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini ikiwa ni siku ya tatu ya kukamilisha utaratibu wa kuzungumza na wadau wa uchaguzi...
10 years ago
Mwananchi08 Aug
NEC: Marufuku kutoa kadi ya kupigia kura
10 years ago
Mwananchi28 Aug
NEC ifanyie kazi tuhuma za kadi za kupigia kura
10 years ago
Mwananchi21 Sep
NEC kuwasaidia waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
10 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Sep
Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?
Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]
The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Akamatwa na kadi 90 za kupigia kura
Na Elias Msuya
MWANAMKE aliyetambuliwa kwa jina la Salome Mahala, amekamatwa hivi karibuni katika Kata ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, akiandikisha namba za kadi za kupigia kura.
Akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, mwananchi wa kijiji cha Katumba wilayani humo, alisema Mahala alikamatwa Jumatatu asubuhi akiwa na kadi 93 alizokusanya kwa wananchi akidai anaandikisha wanachama wa CCM.
“Tumemkamata huyo mama na kumfikisha katika kituo cha polisi cha mkoa akiwa na...
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
New Zealand kupigia kura bendera mpya
10 years ago
Habarileo26 Oct
Wachoma vifaa vya kupigia kura
WATU wapatao 200 wakiwa na silaha za jadi wameteketeza vifaa vyote vya kupigia kura kwa kuvichoma moto yakiwemo makasha 45 ya kuhifadhia kura wakidai kuwa yalikuwa na kura ambazo tayari zilikuwa zimeshapigwa.