Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI MAPENZI NI ASALI, VILEVILE NI SHUBIRI?

Kwa nini mapenzi ni tata? Unaweza kujiuliza swali hilo. Ni kwa faida ya kila mmoja kwa sababu yanamhusu kila mmoja wetu. Ni matamu lakini ndani yake hutokea kuwa na ukakasi kama siyo maumivu.Jiulize tena, kwa nini mapenzi yanasumbua? Mapenzi ni maumivu ya kichwa na moyo. Watu wengi waliomo ndani yake wanaweza kukupa ushuhuda wa mateso wanayoyapata kwenye uhusiano wao. Je, baada ya kuteseka huwa wanajiapiza kutorudi tena? La...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KWA NINI MAPENZI NI ASALI, VILEVILE NI SHUBIRI?-2

kabla sijaendelea na mada yetu ambayo leo inatuweka sehemu ya pili, ni vizuri kukumbushana kuwa msingi nambari moja wa penzi bora lenye uaminifu ni kushika njia inayompendeza Muumba.
Migogoro mingi ya kimapenzi ni makosa ya watu kupita mlango wa Shetani. Tukiendelea na mada yetu; Mapenzi siku zote yanaweza kuwa asali kama wahusika wataamini katika nguvu ya maneno. Imetokea kuamini kuwa maneno ni mhimili wa kudumu kwa uhusiano...

 

10 years ago

GPL

ANAKUPENDA, UNAMPENDA, KWA NINI MAPENZI YENU YAWE YA SIRI?- 2

Ni matumaini yangu kwamba kwa kudra za Mwenyezi Mungu, msomaji wangu umesherehekea vyema sikukuu ya Krismasi na leo unamalizia na Boxing Day, tuzidi kumuomba Mungu atuvushe salama kuingia mwaka mpya wa 2015. Karibu tena kwenye uwanja wetu huu mzuri, Lets Talk About Love! Tuzungumzie mapenzi na kubadilisha mawazo kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku. Wiki iliyopita tulianza kuijadili mada yetu kama...

 

10 years ago

GPL

ANAKUPENDA, UNAMPENDA KWA NINI MAPENZI YENU YAWE YA SIRI?

Uhali gani mpenzi msomaji wangu! Ni matumaini yangu kwamba kwa kudra za Mwenyezi Mungu uko poa na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.Bila shaka msomaji wangu utakuwa unaelewa vizuri nikizungumzia mapenzi ya siri. Inawezekana umewahi kuwa katika aina hii ya uhusiano, umewahi kusikia au kushuhudia watu wawili wanaopendana, wakiendesha uhusiano wao kwa siri kubwa. Je, kwa nini kuna baadhi ya watu hupenda kuishi kwenye...

 

9 years ago

GPL

HIVI MAPENZI YAMEKUFANYIA NINI?

Mpenzi msomaji wa safu hii ya XXLove, shukrani nyingi zikufikie kwa maoni na ushauri wako. Baada ya wiki iliyopita kukupa mbinu za kupigania penzi lako kwa maana ya kulia au kulisusa siyo dawa, wiki hii napenda nijue wewe msomaji wa makala haya, mapenzi yamekufanyia nini? Ninaamini kila mtu atakuwa na jibu kulingana na vile mapenzi yalivyomfanyia katika maisha yake ya uhusiano.Kwa kuanza tu, wapo watu waliofika ughaibuni kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tusipojifunza kwa matukio haya tusubirie shubiri

RAIS wangu wiki iliyopita ilikuwa na matukio mengi lakini leo tuangazie matukio matatu ambayo yalivuta hisia za watu wengi. Ni katika wiki iliyopita Afrika imeondokewa na marais wawili baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 50 ya Muungano yawa shubiri kwa wafanyabiashara Feri

“SHEREHE za  miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar   eti zitufanye tuondoke Feri, hatukubaliani na hilo. “Kuna mahusiano gani kati ya shughuli zetu za ukaangaji wa samaki ambao tumeufanya...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ya Umoja Kitaifa yageuka shubiri kwa CCM

Wakati homa ya uchaguzi mkuu ikipamba moto, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekerwa na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kuvunja makubaliano kwa kutoa kauli zinazotofautiana na Serikali kwenye majukwaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni Safisha Jiji Arusha shubiri kwa mafundi nguo

OPERESHENI Safisha Jiji ya kuwaondoa machinga wanaouza bidhaa zao barabarani ilianza mwaka 2012 kama ilivyokubalika kwenye Baraza la Madiwani wa Jiji la Arusha. Licha ya mwaka jana operesheni hiyo kufanikiwa, mwaka...

 

9 years ago

GPL

SHOGA, NYUKI MKALI KWA ASALI YAKE

Shoga naona leo kicheko mpaka gego la mwisho, najua lazima ucheke kwani ndoa yako ilikuwa imesimamia mguu mmoja leo hii imesimamia miguu miwili, hongera.  Inawezekana nawe ulikuwa mmoja wa waliokuwa wakiichukia kona hii na kuona kama inakufuatafuata. Baada ya maji kufika shingoni, mwenyewe umeyatafuta magazeti ya zamani ili kujua umekosea wapi. Jamani kona hii ipo kwa ajili yetu sote, hata sisi enzi ya ujana wetu tulifanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani