Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI MAPENZI YAMEKUFANYIA NINI?

Mpenzi msomaji wa safu hii ya XXLove, shukrani nyingi zikufikie kwa maoni na ushauri wako. Baada ya wiki iliyopita kukupa mbinu za kupigania penzi lako kwa maana ya kulia au kulisusa siyo dawa, wiki hii napenda nijue wewe msomaji wa makala haya, mapenzi yamekufanyia nini? Ninaamini kila mtu atakuwa na jibu kulingana na vile mapenzi yalivyomfanyia katika maisha yake ya uhusiano.Kwa kuanza tu, wapo watu waliofika ughaibuni kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

10 years ago

GPL

HIVI MAPENZI NI VITA?

WIKI iliyopita tulijadiliana kuhusu wapenzi wenye tabia ya kuwaacha wenzi wao na baadaye kulazimisha kuwarudia kwa nguvu na vitisho baada ya kugundua ndiyo wapenzi sahihi wa maisha yao. Leo tunazungumzia mada inayosema, je, mapenzi ni vita? Ungana nami kujua mengi zaidi kupitia XXLove. Nianze kwa kuwashukuru wasomaji wangu kwa kunitumia ujumbe mfupi wa ‘SMS’ na kunipigia simu, asanteni. Kwenye mada ya leo ni dhahiri...

 

10 years ago

Vijimambo

HIVI MAPENZI NI VITA?


WIKI iliyopita tulijadiliana kuhusu wapenzi wenye tabia ya kuwaacha wenzi wao na baadaye kulazimisha kuwarudia kwa nguvu na vitisho baada ya kugundua ndiyo wapenzi sahihi wa maisha yao.

Leo tunazungumzia mada inayosema, je, mapenzi ni vita? Ungana nami kujua mengi zaidi kupitia XXLove.

Nianze kwa kuwashukuru wasomaji wangu kwa kunitumia ujumbe mfupi wa ‘SMS’ na kunipigia simu, asanteni.

Kwenye mada ya leo ni dhahiri kuwa majibu ya haraka ya walio wengi ni lazima yatakuwa ndiyo au hapana na...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi..

jb“Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi….A anampenda B na wako wote…lakini B moyo wake uko kwa c…ni mara chache sana kupata couple zenye usawa katika kupenda…unapompenda mtu hasa ss wanaume huwa tuna tumia kila njia kuhakikisha tunammiliki..tunajaribu kuwa waugwana…wakali na wakorofi..hata na pesa kuhakikisha tuna wamiliki wapenzi wetu..lakini mapenzi sio kumiliki bali kumfanya umpendae awe na furaha…piakina dada wanapo achana na wapenzi wao huwa wanasumbuliwa na maswali ambayo sio...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI MAPENZI NI ASALI, VILEVILE NI SHUBIRI?-2

kabla sijaendelea na mada yetu ambayo leo inatuweka sehemu ya pili, ni vizuri kukumbushana kuwa msingi nambari moja wa penzi bora lenye uaminifu ni kushika njia inayompendeza Muumba.
Migogoro mingi ya kimapenzi ni makosa ya watu kupita mlango wa Shetani. Tukiendelea na mada yetu; Mapenzi siku zote yanaweza kuwa asali kama wahusika wataamini katika nguvu ya maneno. Imetokea kuamini kuwa maneno ni mhimili wa kudumu kwa uhusiano...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI MAPENZI NI ASALI, VILEVILE NI SHUBIRI?

Kwa nini mapenzi ni tata? Unaweza kujiuliza swali hilo. Ni kwa faida ya kila mmoja kwa sababu yanamhusu kila mmoja wetu. Ni matamu lakini ndani yake hutokea kuwa na ukakasi kama siyo maumivu.Jiulize tena, kwa nini mapenzi yanasumbua? Mapenzi ni maumivu ya kichwa na moyo. Watu wengi waliomo ndani yake wanaweza kukupa ushuhuda wa mateso wanayoyapata kwenye uhusiano wao. Je, baada ya kuteseka huwa wanajiapiza kutorudi tena? La...

 

11 years ago

GPL

HIVI UNAMNYIMA NINI, UMEBADILIKAJE MPAKA AKUSALITI?

Kesi za wapenzi na wanandoa kusalitiana zimekuwa zikiongezeka kila kukicha. Uaminifu umekosekana baina ya wale wanaodai wanapendana kiasi kwamba hakuna anayeweza kusimama na kusema kuwa, hasalitiwi. Utafiti unaonesha kwamba, hata wale ambao wanajiaminisha kuwa wapenzi wao ni watulivu wasio na mawazo ya kuchepuka, wamekuwa wakizungukwa bila wao kujua.
Si hivyo tu, wapo ambao wanajua wazi kwamba wapenzi wao hawajatulia lakini ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani