HIVI UNAMNYIMA NINI, UMEBADILIKAJE MPAKA AKUSALITI?
![](http://api.ning.com:80/files/MjUiWVyv*JJ0UkxMqMBGZ2HzV9jZ4Um-5GworLqQAbvsjg9qaLFj6YQkPl5nL3bpypZ39A55IJAmiVzxb0WDp7KSqT05a25f/mahaba.jpg)
Kesi za wapenzi na wanandoa kusalitiana zimekuwa zikiongezeka kila kukicha. Uaminifu umekosekana baina ya wale wanaodai wanapendana kiasi kwamba hakuna anayeweza kusimama na kusema kuwa, hasalitiwi. Utafiti unaonesha kwamba, hata wale ambao wanajiaminisha kuwa wapenzi wao ni watulivu wasio na mawazo ya kuchepuka, wamekuwa wakizungukwa bila wao kujua. Si hivyo tu, wapo ambao wanajua wazi kwamba wapenzi wao hawajatulia lakini ili...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx23S5CJrG-SuiqdayiwgG3Amj8TGb2WlzoSAX5VcTGCA3el67epRDdBH899I2bxWuD9wWmHI-2KBDgs-UWZS7jPQ/unhappywoman.jpg?width=650)
SHOGA: KWA NINI MUMEO AKUSALITI?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo4nFG*hhuGrzWuw5wQZsNCmv7BBRF8c7PXH9R9D62WH-1uBRPpYwrBtaE8Yuw1UEpWuklwTjpKsaqBqtKwDU0p5/150000080.jpg)
HIVI WASANII MTAKUWA NA UCHUMBAâ€, ‬NDOA ZA MAIGIZO MPAKA LINIâ€?‬
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Yanga! Kwa nini mpaka Simba ianze?
NI Jumatatu nyingine tulivu kabisa ya mwezi Juni, ulio katikati ya mwaka, mwezi unaoelemewa na baridi karibu sehemu kubwa ya nchi yetu. Ni kati ya miezi ambayo michuano ya Kombe...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2cgQuBR1Cog6P*b0AmXUarEeSt4wchvBgmekA1ZlfjYWNYEV7ckASgmkBGT5cZNqz1obXuanmJ-aljN9pENAdobPZN0HA0F*/couplehappilysleeping.jpg?width=650)
HIVI MAPENZI YAMEKUFANYIA NINI?
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Coronavirus: Kwa nini kuna hali ya sintofahamu katika mpaka wa Namanga na Holili?
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aVbY39yROXQ/VXcjERIxTkI/AAAAAAAHdbs/xQpyb3FbttA/s72-c/MMGL1508%2Bcopy.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nc61tuPNc3NHIwUBc0xBbv8J3OcUiDeh55umvzs-bGmYEqnlASqVl7nqVI3teCwbqjdI3sGRqQxwIhKnflv4h3P53xNRf4Vo/ClairMacDougallFE0328LiberianGirlSoldierEmbed8.jpg?width=650)
HIVI UNAPOMTESA ‘HAUSIGELI’ WAKO UNATARAJIA NINI?
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Oct
Mpaka hivi sasa tume ya Taifa NEC imeshindwa kuweka Daftari la Wapiga kura hadharani, Jee UKAWA wamejipanga vipi?
Huku kukiwa na wasiwasi mkubwa kwa Vyama vya Upinzani kuhusu Daftari la wapiga kura kutokuwekwa hadharani ili vyama vya siasa kupata nafasi ya kulipitia, Vyama vilivyo ungana UKAWA wamekuwa na shaka kubwa kuwa Tume ya Taifa […]
The post Mpaka hivi sasa tume ya Taifa NEC imeshindwa kuweka Daftari la Wapiga kura hadharani, Jee UKAWA wamejipanga vipi? appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Bongo517 Dec
Zari: Diamond ananipenda hivi hivi pamoja na ninyi kuniona bibi!
![12357542_428396244023192_1854107619_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12357542_428396244023192_1854107619_n-300x194.jpg)
Kuna watu wanaodai kuwa make up ya Zari kwenye video ya Utanipenda! imemharibu na sasa mpenzi huyo wa Diamond amevunja ukimya na kuwajibu.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zari ameandika:
Need I remind some fools that this was a music video a lot of make up going on here and sometimes it just doesn’t do justice on a face, so if age is what is bothering you guess what, he knows there is a lot of young hoes out there but then again he prefers this old ass right here, so suck that up and take...