Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI UNAPOMTESA ‘HAUSIGELI’ WAKO UNATARAJIA NINI?

NDUGU zangu, leo ngoja niwazungumzie watu ambao kwa uelewa wangu ni muhimu sana kwenye jamii yetu. Nawazungumzia wasaidizi wa kike wa kazi za ndani ambao tumezoea kuwaita mahausigeli huku wengine wakiwapachika jina la mabeki tatu. Hawa ni watu muhimu sana. Msaada unaotolewa na wasichana hawa hasa kwa watu wenye familia ni mkubwa lakini kinachoniuma ni kwamba baadhi yao wamekuwa wakinyanyasika sana.
Juzi nilisoma habari moja...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

FANYA HIVI KURUDISHA UHUSIANO WAKO UPYA-2

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuninusuru kifo, mimi na rafiki zangu katika ajali mbaya ya gari letu kugongwa na Fuso, Septemba 8, mwaka huu maeneo ya Bondeni, Mbezi-Beach jijini Dar. Hakika Mungu ana kusudi na mimi katika kukuelimisha wewe msomaji wangu wa XXLove. Nanyi nawatakia afya njema, rafiki zangu waliojeruhiwa zaidi yangu katika gari tuliyopata nalo ajali naamini tumenusurika kifo.
Wiki iliyopita tulijifunza namna ya...

 

10 years ago

GPL

HIVI UJASIRI WA KUMTUPA MZAZI WAKO UNAUPATA WAPI?-2

Ni matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Mungu kwa kunifanya niwe hivi nilivyo leo. Pia niwashukuru wazazi wangu ambao siku zote wamekuwa pamoja na mimi. Wamenivumila kwa mengi licha ya wakati mwingine kuwakosea, wamekuwa wepesi kunisamehe na kuendelea kunisimamia kama mtoto wao. Nami naahidi kutowatupa!Mpenzi msomaji wangu, wiki hii nitaimalizia mada...

 

9 years ago

GPL

HIVI MAPENZI YAMEKUFANYIA NINI?

Mpenzi msomaji wa safu hii ya XXLove, shukrani nyingi zikufikie kwa maoni na ushauri wako. Baada ya wiki iliyopita kukupa mbinu za kupigania penzi lako kwa maana ya kulia au kulisusa siyo dawa, wiki hii napenda nijue wewe msomaji wa makala haya, mapenzi yamekufanyia nini? Ninaamini kila mtu atakuwa na jibu kulingana na vile mapenzi yalivyomfanyia katika maisha yake ya uhusiano.Kwa kuanza tu, wapo watu waliofika ughaibuni kwa...

 

9 years ago

GPL

KWA NINI MITANDAO IVURUGE NDOA UHUSIANO WAKO?

NI Jumatatu nyingine murua Mungu anatukutanisha tena kwa neema zake katika kilinge chetu cha XXLove kujuzana kuhusu maisha ya uhusiano.Wiki iliyopita tulijadili namna ambavyo huwezi kuyaepuka mapenzi kwa sababu ya maumivu uliyowahi kuyapata au unayapata ila utapumzika kwa muda tu. Leo nakukaribisha kwenye mada tamu inayohusu matumizi na mapokeo mabovu ya mitandao ya kijamii kama mada inavyojieleza.Kumekuwa na wimbi kubwa la watu...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI MSICHANA WA KAZI AKUCHUKULIE MUME WAKO-2

ASALAAM aleiykhum/Bwana Yesu asifiwe.
Bila shaka wasomaji wa safu hii hamjambo na mnaendelea vema na shughuli za ujenzi wa taifa.
Kwa wale wagonjwa, nawaombea dua mpone haraka na kuuanza mwaka 2014 kwa furaha. Leo tunaendelea na mada yetu ya wiki iliyopita, nilipata ujumbe mwingi kwa njia ya simu kutoka kwa wasichana wa kazi na akina baba wenye nyumba wakiwa na mawazo tofauti. Haya ndio makosa wayafanyayo wanawake...

 

10 years ago

GPL

ALIKUWA MPENZI WAKO, KWA NINI SASA UMHARIBIE?

WAPENZI wa XXXLove tunakutana tena leo kwa rehema na kudra za Maulana. Nami bila hiyana nawakaribisha wasomaji wangu kwa moyo mkunjufu, karibuni! Leo nitazungumza na watu ambao walikuwa na mahusiano mwanzoni, baadaye mapenzi yao yakafika mwisho na kila mtu kuanza maisha yake mapya. Kwa bahati nzuri mwenza wako kaolewa ama kuoa na wewe bado uko bachela, kwa nini uanze kumsumbua? Hilo ni tatizo, tena tatizo kubwa sana ambalo...

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?

Kabla sijaingia kwenye mada ya leo, hebu tushirikishane kuhusu hali iliyomtokea dada yetu mmoja kutoka jijini Dar es Salaam. Aliwasiliana nami siku kadhaa zilizopita, akiwa analia, amekata tamaa, anaomboleza mithili ya mtu aliyepewa taarifa za msiba. Alichokisema ni hiki: “Nimeishi na mume wangu kwa miaka kumi na tumejaliwa kupata watoto watatu. Huyu wa mwisho ana umri wa miezi saba, nilimzaa mwanzoni mwa mwaka huu....

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?-2

Shukrani ziende kwake Muumba ambaye kwa mara nyingine ametupa nafasi ya kukutana kwenye uwanja wetu huu, tukijuzana, kuelimishana na kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kuijadili mada hii kama inavyosomeka kwenye kichwa cha habari kuhusu hatua unazopaswa kuzichukua unapogundua kuwa mpenzi wako, mumeo au mkeo ana mawasiliano na mpenzi wake wa zamani (ex wake)....

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?-3

6. Anaendelea kumpa misaada mbalimbali. Ukiona mpenzi wako anaendelea kumsaidia ex wake kama kumtumia muda wa maongezi, fedha za matumizi au kodi ya chumba, ujue bado wanapendana na anafanya hayo kwa sababu anaamini ipo siku watarudiana. 7. Bado anazo zawadi walizokuwa wanapeana kipindi cha nyuma. Ukiona mpenzi wako bado anatunza zawadi walizowahi kupeana na ex wake kipindi cha mapenzi yao, ni dhahiri kwamba bado anampenda na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani