HIVI UJASIRI WA KUMTUPA MZAZI WAKO UNAUPATA WAPI?-2

Ni matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Mungu kwa kunifanya niwe hivi nilivyo leo. Pia niwashukuru wazazi wangu ambao siku zote wamekuwa pamoja na mimi. Wamenivumila kwa mengi licha ya wakati mwingine kuwakosea, wamekuwa wepesi kunisamehe na kuendelea kunisimamia kama mtoto wao. Nami naahidi kutowatupa!Mpenzi msomaji wangu, wiki hii nitaimalizia mada...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Je,utakubali mshahara wako kukatwa na kupewa mzazi wako?
11 years ago
GPL
UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI?
11 years ago
GPL
UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI? -3
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Je, wasichana wa Chibok wako wapi?
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Wako wapi wanawake shupavu wa TANU?
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Wako wapi Kabourou, Tambwe, Nsanzugwanko na Lamwai?
KATIKA muktadha wa mjadala unaoendelea sasa hivi katika jamii, nimependa kujua walipo baadhi ya wanasiasa hawa waliowahi kuvuma katika vyama vya upinzani. Yuko wapi Dk. Walid Aman Kabourou? Aliwahi kuwa...
11 years ago
Mwananchi07 May
‘Wako wapi watoto wangu, familia yangu?’
10 years ago
Bongo Movies17 Jun
Wako Wapi Wakongwe Kunusuru Tasnia ya Filamu?
UKIMUULIZA msanii wa filamu wa hapa nchini, kama sanaa hiyo inalipa, atakujibu ndio inalipa. Ukibadili swali hilo na kumuuliza matatizo ambayo anakumbana nayo katika sanaa hiyo kila mara, atakwambia wizi wa kazi za wasanii kwa baaadhi ya watu wachache ambao hupenda kufaidika kupitia migongo ya wasanii hao.
Hayo ndio mambo ya haraka haraka ambayo wasanii wengi wameyatambua katika sanaa hiyo ambayo kila kukicha inapata wasanii chipukizi ambapo kuna baadhi yao hufikiri kuwa tasnia ya uigizaji...
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Mzazi unamwitaje mtoto wako panya, mjusi, paka?