Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi..

jb“Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi….A anampenda B na wako wote…lakini B moyo wake uko kwa c…ni mara chache sana kupata couple zenye usawa katika kupenda…unapompenda mtu hasa ss wanaume huwa tuna tumia kila njia kuhakikisha tunammiliki..tunajaribu kuwa waugwana…wakali na wakorofi..hata na pesa kuhakikisha tuna wamiliki wapenzi wetu..lakini mapenzi sio kumiliki bali kumfanya umpendae awe na furaha…piakina dada wanapo achana na wapenzi wao huwa wanasumbuliwa na maswali ambayo sio...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Navio — Kigozi (Iko Hivi)

Rapper Navio wa Uganda ambaye ametua nchini Jumanne hii, ameachia video ya wimbo ngoma yake matata, Kigozi. Itazame hapo chini.

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

10 years ago

GPL

SIRI YA MAPENZI YAO IKO MOYONI MWAO

Mwandishi Wetu
Mastaa wengi wamekuwa wakiingia kwenye uhusiano na kufanya siri kubwa. Wapo ambao wanaonekana dhahiri ni wapenzi kutokana na ukaribu wao lakini wakiulizwa wanadai wana ‘project’.Ukiuliza ni project gani utaambiwa wana filamu wanacheza. Cha ajabu sasa unaweza kusubiria hiyo filamu na usiione. Mwisho wa siku unajiongeza na kubaini baadhi wanatumia kivuli cha ‘project’ kuendesha penzi lao...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanaopokezana vijiti katika mbio mara nyingi ndiyo washindao

Leo napenda kukopa maneno ya msanii, mwimbaji Mrisho Mpoto, maarufu kwa jina la Mjomba: “Nyosha kidole…, sina nia mbaya ya kuwarudisha darasani.” Lakini kwa kuwa akili ya binadamu ina tabia ya kukumbuka ya karibuni na kuyasahau ya zamani, nimeona leo niwakumbushe historia kidogo, nayo ni ile ya Chama cha Wananchi- CUF.

 

10 years ago

Vijimambo

HIVI MAPENZI NI VITA?


WIKI iliyopita tulijadiliana kuhusu wapenzi wenye tabia ya kuwaacha wenzi wao na baadaye kulazimisha kuwarudia kwa nguvu na vitisho baada ya kugundua ndiyo wapenzi sahihi wa maisha yao.

Leo tunazungumzia mada inayosema, je, mapenzi ni vita? Ungana nami kujua mengi zaidi kupitia XXLove.

Nianze kwa kuwashukuru wasomaji wangu kwa kunitumia ujumbe mfupi wa ‘SMS’ na kunipigia simu, asanteni.

Kwenye mada ya leo ni dhahiri kuwa majibu ya haraka ya walio wengi ni lazima yatakuwa ndiyo au hapana na...

 

10 years ago

GPL

HIVI MAPENZI NI VITA?

WIKI iliyopita tulijadiliana kuhusu wapenzi wenye tabia ya kuwaacha wenzi wao na baadaye kulazimisha kuwarudia kwa nguvu na vitisho baada ya kugundua ndiyo wapenzi sahihi wa maisha yao. Leo tunazungumzia mada inayosema, je, mapenzi ni vita? Ungana nami kujua mengi zaidi kupitia XXLove. Nianze kwa kuwashukuru wasomaji wangu kwa kunitumia ujumbe mfupi wa ‘SMS’ na kunipigia simu, asanteni. Kwenye mada ya leo ni dhahiri...

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Watoto wanaoangalia runinga mara nyingi wanaweza kuharibu ubongo

Kuangalia mara kwa mara televisheni kunaweza kubadilisha muundo wa ubongo wa mtoto na hivyo kumletea madhara, kulingana na utafiti mpya uliofanywa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Tohoku kilichopo katika Jiji la Sendai nchini Japan

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani