Wanaopokezana vijiti katika mbio mara nyingi ndiyo washindao
Leo napenda kukopa maneno ya msanii, mwimbaji Mrisho Mpoto, maarufu kwa jina la Mjomba: “Nyosha kidole…, sina nia mbaya ya kuwarudisha darasani.†Lakini kwa kuwa akili ya binadamu ina tabia ya kukumbuka ya karibuni na kuyasahau ya zamani, nimeona leo niwakumbushe historia kidogo, nayo ni ile ya Chama cha Wananchi- CUF.
Mwananchi
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10