Utafiti: Watoto wanaoangalia runinga mara nyingi wanaweza kuharibu ubongo
Kuangalia mara kwa mara televisheni kunaweza kubadilisha muundo wa ubongo wa mtoto na hivyo kumletea madhara, kulingana na utafiti mpya uliofanywa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Tohoku kilichopo katika Jiji la Sendai nchini Japan
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Utafiti: Wezi na wanyanyasaji huwa na ubongo mdogo
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Utafiti: Jumuiya nyingi za wafanyakazi zimekufa
KUENDELEA kunyanyasika kwa wafanyakazi katika makampuni mbalimbali kumechangiwa na asilimia 60 ya Jumuiya za Wafanyakazi kutokuwa hai ingawa zipo kwa asilimia 41.6 maeneo ya sehemu za kazi. Hayo yalibainika jijini...
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Utafiti: Mimba nyingi hutungwa Krismasi
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Wanaume nao wanaweza kunyonyesha watoto wao
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Matatizo yanayowafanya watoto waugue mara kwa mara
Watoto wanaopatwa na matatizo ya kuugua mara kwa mara ni wale walio katika umri wa chini ya miaka mitano. Watoto hawa huumwa na wanapogundulika kuwa ni wagonjwa tayari hali inakuwa mbaya.
Hii ni kwa kuwa watoto hawa hawana uwezo wa kujieleza mara tu wanapopata dalili za awali za ugonjwa. Pamoja na yote, magonjwa au maradhi ya watoto huanzia mbali sana kama tutakavyokuja kuona.
Inawezekana kabisa mtoto asiugue na akaishi vizuri kuanzia anapozaliwa hadi anavuka umri wa miaka mitano. Matatizo...
9 years ago
Bongo Movies20 Dec
Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi..
“Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi….A anampenda B na wako wote…lakini B moyo wake uko kwa c…ni mara chache sana kupata couple zenye usawa katika kupenda…unapompenda mtu hasa ss wanaume huwa tuna tumia kila njia kuhakikisha tunammiliki..tunajaribu kuwa waugwana…wakali na wakorofi..hata na pesa kuhakikisha tuna wamiliki wapenzi wetu..lakini mapenzi sio kumiliki bali kumfanya umpendae awe na furaha…piakina dada wanapo achana na wapenzi wao huwa wanasumbuliwa na maswali ambayo sio...
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Wanaopokezana vijiti katika mbio mara nyingi ndiyo washindao
10 years ago
Bongo506 Dec
Beyonce awa mwanamke aliyetajwa kuwania tuzo za Grammy mara nyingi zaidi
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Yataka moyo kufundisha watoto wenye mtindio wa ubongo