Utafiti: Mimba nyingi hutungwa Krismasi
Utathmini wa takwimu kuhusu watoto wanaozaliwa Uingereza umebaini mimba nyingi hutungwa wakati wa Krismasi kuliko wakati mwingine wowote ule.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s72-c/wema%2B%284%29.jpg)
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s640/wema%2B%284%29.jpg)
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Utafiti: Jumuiya nyingi za wafanyakazi zimekufa
KUENDELEA kunyanyasika kwa wafanyakazi katika makampuni mbalimbali kumechangiwa na asilimia 60 ya Jumuiya za Wafanyakazi kutokuwa hai ingawa zipo kwa asilimia 41.6 maeneo ya sehemu za kazi. Hayo yalibainika jijini...
10 years ago
Bongo Movies28 May
Nimeshatoa mimba nyingi sana-Irene Paul
Muigizaji wa filamu za kibongo ambaye wiki iliyopita ameshinda tuzo ya muingizaji bora wa kike katika tuzo za Filamu nchini Tanzania (TAFA) Irene Paul amefunguka na kusema kuwa ameshatoa mimba nyingi sana, Irene Paul alisema hayo alipokuwa akichat Live katika kipengele cha KIKAANGONI kinachofanyika katika ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mchana mpaka kumi Alasiri.
Irene Paul alisema kuwa mara nyingi amekuwa akitoa mimba hizo katika filamu kutokana na kuuvaa...
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Utafiti: Watoto wanaoangalia runinga mara nyingi wanaweza kuharibu ubongo
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Wanafunzi 150 Duce wapata mimba — Utafiti