Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi 150 Duce wapata mimba — Utafiti

Wanafunzi 150 kati ya 1,000 waliojiunga na masomo katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (Duce) mwaka jana wamebainika kuwa na ujauzito waliopewa na wenzao chuoni hapo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANAFUNZI 184 WAPATA MIMBA MKOANI PWANI 2019


NA MWAMVUA MWINYI,PWANI
WANAFUNZI wa shule za msingi na sekondari  2,091 mkoani Pwani, kati ya hao wanafunzi 184 walipata mimba na wengine  kuacha shule na utoro kwa mwaka 2019 ,idadi ambayo ni kubwa.

Aidha ,wanafunzi 2,221 ambao waliochaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari mkoani humo bado hawajaripoti shule walizopangiwa hadi sasa .

Kufuatia hali hiyo, mkuu wa mkoa wa Pwani'mhandisi Evarist Ndikilo aliwaagiza wakaguzi wa elimu kufanya kazi kwa weledi kwa kufuatilia na kusimamia masuala ya...

 

11 years ago

Habarileo

DUCE yapokea wanafunzi 200 badala ya 500

LICHA ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE) kuwa na uwezo wa kufundisha wanafunzi zaidi ya 500 wa masomo ya sayansi, wamekuwa wakipokea wanafunzi 200 tu wa masomo hayo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyewalizimisha 150 kuavya mimba akamatwa

Polisi wa Uhispania wamemkamata muuguzi anayetuhumiwa kuwalazimisha wapiganaji wanawake katika kundi la waasi la Colombia, FARC, kuavya mimba.

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI UDOM, DUCE WAGOMA, MADAI NI KAMA YALE YA WENZAO WA UDSM. WANADAI MIKOPO ITOLEWE

WANAFUNZI wa vyuo vikuu vya UDOMA, Mkoani Dodoma ni kile cha DUCE jijini Dar es Salaam, waliamua kuacha masomo na kugoma kushinikiza bodi ya mikopo kulipa mikopo yao. Mgomo huo unakuja siku mbili tu baada ya wenzao wa UDSM kugoma kwa madai kama hayo na hatimaye siku iliyofuatia wakalipwa. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, alilazimika kumtuma naibu waziri wa Afya Steven Kebwe na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa ili kutuliza "mzuka" wa wanafunzi ambapo baadhi yao walilia kwa uchunghu kama Eva...

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana 98 wapata mimba utotoni

ZAIDI ya wasichana 98 walipata mimba za utotoni na wengine kukatishwa masomo kwa kipindi cha mwaka huu, mkoani Kilimanjaro, huku asilimia kubwa wakiwa ni kutoka familia masikini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasichana 700 wapata mimba, waacha shule

Zaidi ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 na 19 ambao walikatisha masomo kwa sababu ya mimba katika shule za msingi na sekondari Wilaya ya Kahama, wamejitokeza kupatiwa elimu ya uzazi wa mpango na ujasiriamali inayotolewa na Shirika la Kiota Women Health Development (Kiwohede) la Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 150 Serengeti wakimbia kukeketwa

“Nalazimishwa kukeketwa ili niolewe, maana kwa mila na desturi za Kimasai mtoto wa kike anapozaliwa hupata mchumba. Pamoja na umri wangu mdogo hivi, licha ya kuwa nasoma, nani wa kutuokoa.”

 

9 years ago

BBCSwahili

Utafiti: Mimba nyingi hutungwa Krismasi

Utathmini wa takwimu kuhusu watoto wanaozaliwa Uingereza umebaini mimba nyingi hutungwa wakati wa Krismasi kuliko wakati mwingine wowote ule.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani