Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasichana 700 wapata mimba, waacha shule

Zaidi ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 na 19 ambao walikatisha masomo kwa sababu ya mimba katika shule za msingi na sekondari Wilaya ya Kahama, wamejitokeza kupatiwa elimu ya uzazi wa mpango na ujasiriamali inayotolewa na Shirika la Kiota Women Health Development (Kiwohede) la Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

400 waacha shule kwa mimba, utoro

Zaidi ya wanafunzi 400 wilayani hapa, mkoani Morogoro wameshindwa kuendelea na masomo ya sekondari kwa kwa sababu mbalimbali, ikiwamo ujauzito na wengine kukimbilia katika biashara ya uchimbaji wa madini.

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana 98 wapata mimba utotoni

ZAIDI ya wasichana 98 walipata mimba za utotoni na wengine kukatishwa masomo kwa kipindi cha mwaka huu, mkoani Kilimanjaro, huku asilimia kubwa wakiwa ni kutoka familia masikini.

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA: SH. MILIONI 700 KUJENGA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili katika kijiji cha Chikwale wilayani Ruangwa kuzungumza na wananchi, Juni 22, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Ruangwa, Lindi
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu kwa watoto wa kike nchini kote ikiwemo wilaya ya Ruangwa ambayo imepewa sh. milioni 700 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa shule maalumu ya sekondari ya wasichana.

Amesema Serikali inataka mtoto wa kike asome kuanzia darasa la...

 

5 years ago

Michuzi

MILIONI 700 KUJENGA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA RUANGWA-MAJALIWA

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa jukwaa kuu katika uwanja wa michezo wa Kassim Majaliwa Juni 21, 2020. Kulia ni Mkuu wa wilaya hiyo, Hashim Mgandilwa.


Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa , Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembea katika mitaa ya Ruangwa Juni 21, 2020. Wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hassim Mgandilwa.



Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembelea eneo la Kituo cha Mabasi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasichana 35 wafukuzwa shule kwa mimba, utoro

BODI ya Shule ya Sekondari Munkinya, Kata ya Dung’unyi wilayani Ikungi, Singida imewafukuza shule wanafunzi 35 kwa sababu za utoro, mimba na ukosefu wa nidhamu. Mkuu wa Shule hiyo, Joseph...

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi waacha shule, wakimbilia ndoa

SHULE ya sekondari Hunyari iliyoko katika wilaya ya Bunda mkoani Mara, inakabiliwa na utoro mkubwa wa wanafunzi kutokana na baadhi yao kukatisha masomo kwa kuolewa na wengine kuchunga mifugo.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi waoa wake 3, waacha shule

HALI si shwari katika sekta ya elimu katika wilaya za Kalambo na Sumbawanga mkoani Rukwa, baada ya kuelezwa idadi kubwa ya wanafunzi wa kiume katika shule za sekondari hukatisha masomo ili kujikita katika kutunza familia, kwani wengi wao ni waume za watu, wengine wakiwa na wake hadi watatu.

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi 279 kati ya 320 waacha shule

KATI ya wanafunzi 320 walioanza kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Abeid Amaan Karume iliyopo Bahi Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ni wanafunzi 41 tu waliofanikiwa kufika kidato cha nne.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wasichana wapata ugonjwa wa kuanguka

WAZAZI na walezi ambao watoto wao wanasoma katika Shule ya Msingi Inyonga wilayani Mlele, mkoani Katavi wameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutuma timu ya wataalamu wa afya kuchuguza ugonjwa wa ajabu unaowakumba wasichana wanaosoma katika shule hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani