Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasichana 35 wafukuzwa shule kwa mimba, utoro

BODI ya Shule ya Sekondari Munkinya, Kata ya Dung’unyi wilayani Ikungi, Singida imewafukuza shule wanafunzi 35 kwa sababu za utoro, mimba na ukosefu wa nidhamu. Mkuu wa Shule hiyo, Joseph...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

400 waacha shule kwa mimba, utoro

Zaidi ya wanafunzi 400 wilayani hapa, mkoani Morogoro wameshindwa kuendelea na masomo ya sekondari kwa kwa sababu mbalimbali, ikiwamo ujauzito na wengine kukimbilia katika biashara ya uchimbaji wa madini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasichana 700 wapata mimba, waacha shule

Zaidi ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 na 19 ambao walikatisha masomo kwa sababu ya mimba katika shule za msingi na sekondari Wilaya ya Kahama, wamejitokeza kupatiwa elimu ya uzazi wa mpango na ujasiriamali inayotolewa na Shirika la Kiota Women Health Development (Kiwohede) la Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

DC JOKATE AKEMEA VIKALI UTORO,MIMBA ZA UTOTONI NA UBAKAJI KWA WATOTO WADOGO

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akifafanya jambo katika mkutano wa kazi kwa watendaji wa kata, watendaji wa vijiji, pamoja na wenyeviti wa vijiji vipatavyo 84 ambapo walikutana kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo pamoja na changamoto zilizopo.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Mussa Gama akitoa mada wakati wa mkutano huo ambao aliuandaaa kwa ajili ya kuwakutanisha viongozi na watendaji mbali mbali wa ngazi za vijiji, kata pamoja na tarafa ili kujadili...

 

9 years ago

Dewji Blog

“Vitendo vya utoro na mimba kwa wanafunzi Mkoani Singida havivumiliki”- Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Anna Mughwira

IMG_1743

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Anna Mughwira, akichangia ajenda zilizokuwa zinatolewa kwenye kikao cha kamati ya maendeleo (RCC) mkoa wa Singida kilichofanyika mjini hapa. Pamoja na mambo mengine, ameviomba vyombo vya habari mkoani, kusaidia kutoa elimu juu ya madhara yanayowapata wanafunzi watoro.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo ,Anna Mughwira amewahimiza waandishi wa habari mkoani hapa, kutumia taaluma yao kuwaelimisha...

 

10 years ago

Michuzi

UTORO, MIMBA: CHUNYA NI ZAIDI YA KYELA - WAZIRI MKUU

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mkwajuni wilayani Chunya akiwa katika ziara ya wailaya ya Chunya Februari 28, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizungumza na wananchi wa mji mdogo wa Makongorosi Chunya waliofunga njia na akalazimika kuzungumza nao akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameendelea kukemea tabia za utoro na mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari...

 

5 years ago

Michuzi

WAJUMBE BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA ARUMERU WAKUBALIANA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI NA UTORO SHULENI

Na Woinde Shizza, ARUMERUWajumbe wa baraza la madiwani Halmashauri ya Meru, wilayani Arumeru, wamekubaliana kuwa na agenda ya kutokomeza mimba za utotoni na utoro shuleni kudumu kwenye vikao vya Vijiji na Kata kwa kujikita kuelimisha jamii kuanzia ngazi ya familia. Wajumbe hao wameadhimia hilo, mara baada ya, madiwani wa Kata kadhaa kuwasilishwa taarifa zinazoonesha changamoto ya mimba za utotoni zinazowaka bili wanafunzi katika kata zao. Awali taarifa hizo zimethibitishwa na Idara...

 

10 years ago

Mwananchi

Utoro wakithiri shule za Dodoma

Mkoa wa Dodoma bado unakabiliwa na utoro wa wanafunzi, jambo linalosababisa idadi kubwa ya vijana kuzurura mitaani.

 

10 years ago

Mwananchi

Shule ya Msingi Uhuru yafanikiwa kudhibiti utoro

Licha ya kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi, nidhamu yao na jitihada za walimu kupunguza utoro imekuwa siri kubwa ya mafanikio ya kitaaluma kwa Shule ya Msingi Uhuru iliyopo Manispaa ya Morogoro.

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MILIONI 10 KWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA KIBOSHO

 Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Kibosho, Mhandisi Aloyce Peter Mushi akizungumza wakati wa hafla ya mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Kibosho. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei 

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizindua jengo la mahabara ya Shule ya Sekondari Kibosho, wakati wa mahafali ya 30 ya kidato cha sita yaliyofanyika Mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo, sista Anna na kulia ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani