Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utoro wakithiri shule za Dodoma

Mkoa wa Dodoma bado unakabiliwa na utoro wa wanafunzi, jambo linalosababisa idadi kubwa ya vijana kuzurura mitaani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kidato cha pili Pwani wakithiri kwa utoro

>Mkoa wa Pwani unakabiliwa na tatizo kubwa la wanafunzi wa kidato cha pili wanaotakiwa kukariri darasa kukimbia shule na baadhi ya wanaopangiwa kidato cha kwanza nao kutoripoti kabisa shuleni.

 

10 years ago

Mtanzania

UTAFITI: Wanafunzi shule za msingi wakithiri kwa ngono

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kitengo cha magonjwa ya afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha sampuli tathmini ya matokeo ya mradi huo uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono. kulia ni mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema Kilonzo. Na Mppigapicha Wetu

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kitengo cha magonjwa ya afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha sampuli tathmini ya matokeo ya mradi huo uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono. kulia ni mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema Kilonzo. Na Mppigapicha Wetu

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

UTAFITI uliofanywa na mradi wa PREPARE...

 

10 years ago

Mwananchi

Shule ya Msingi Uhuru yafanikiwa kudhibiti utoro

Licha ya kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi, nidhamu yao na jitihada za walimu kupunguza utoro imekuwa siri kubwa ya mafanikio ya kitaaluma kwa Shule ya Msingi Uhuru iliyopo Manispaa ya Morogoro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasichana 35 wafukuzwa shule kwa mimba, utoro

BODI ya Shule ya Sekondari Munkinya, Kata ya Dung’unyi wilayani Ikungi, Singida imewafukuza shule wanafunzi 35 kwa sababu za utoro, mimba na ukosefu wa nidhamu. Mkuu wa Shule hiyo, Joseph...

 

10 years ago

Mwananchi

400 waacha shule kwa mimba, utoro

Zaidi ya wanafunzi 400 wilayani hapa, mkoani Morogoro wameshindwa kuendelea na masomo ya sekondari kwa kwa sababu mbalimbali, ikiwamo ujauzito na wengine kukimbilia katika biashara ya uchimbaji wa madini.

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA VIONGOZI MKOA WA DODOMA KUKAGUA UJENZI WA SHULE YA WASICHANA YA BUNGE MKOANI DODOMA

 Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Dodoma, kamati ya ujenzi wa Shule wakati walipotembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha Tano na Sita iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Patrobas Katambi, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Ndg. Godfrey Kunambi, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge na Katibu Tawala Mkoa wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujangili wakithiri Kenya

Mamlaka ya Kenya imekamata pembe za Tembo zinazoaminika zimetoka kwa Tembo wasiopungua 114

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda atembelea shule ya wasioona ya Bigiri — Dodoma

PG4A1456

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua majengo na vifaa vya  kufundishia  wakati alipotembelea Shule Maalu ya Wasioona ya Bigiri iliyopo Dodoma Juni 4, 2014 Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Reheme Nchimbi Juni 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). PG4A1467

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama  baadhi ya michoro unayotumika katika kuwafundishia  wanafunzi wasiona  wakati alipotombelea shule maalu ya Wasioona ya Bigiri Dodoma Juni4,2014. Kulia ni Mratibu wa Mpango wa kuifadhili shule...

 

11 years ago

GPL

MGOMO WA MADAKTARI KENYA WAKITHIRI

Maafisa wa afya wanaowakilisha madaktari na wauguzi wamesisitiza kuwa hawatasitisha mgomo wao hadi serikali itakapotimiza matakwa yao. Hii ni licha ya mahakama kutoa agizo kwa madaktari hao kusitisha mgomo wao ifikapo tarehe 24 Disemba.Lakini wamesema kuwa wako tayari kuendelea na mazungumzo na serikali kutafuta kusuluhisha kwa mgomo huo unaohusu wao kupokea mishahara yao kutoka kwa serikali za majimbo wala sio serikali kuu....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani