Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujangili wakithiri Kenya

Mamlaka ya Kenya imekamata pembe za Tembo zinazoaminika zimetoka kwa Tembo wasiopungua 114

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MGOMO WA MADAKTARI KENYA WAKITHIRI

Maafisa wa afya wanaowakilisha madaktari na wauguzi wamesisitiza kuwa hawatasitisha mgomo wao hadi serikali itakapotimiza matakwa yao. Hii ni licha ya mahakama kutoa agizo kwa madaktari hao kusitisha mgomo wao ifikapo tarehe 24 Disemba.Lakini wamesema kuwa wako tayari kuendelea na mazungumzo na serikali kutafuta kusuluhisha kwa mgomo huo unaohusu wao kupokea mishahara yao kutoka kwa serikali za majimbo wala sio serikali kuu....

 

10 years ago

StarTV

Ushirikiano Tanzania, Kenya wapunguza ujangili.

Na Ramadhan Mvungi,

Arusha.

 

Ushirikiano baina ya nchi za Tanzania na Kenya katika kupambana na vitendo vya ujangili kwenye hifadhi za wanyama na mapori ya akiba umeanza kuzaa matunda baada ya takwimu kuonyesha kupungua kwa mauaji ya wanyama wakubwa wakiwemo Tembo, Simba na Twiga kwa kipindi cha miaka minne iliyopita.

 

Ushirikiano huo unatekelezwa chini ya programu zinazohusisha vijiji vinavyopakana na maeneo ya wanyamapori yaliyohifadhiwa kisheria chini ya uratibu wa shirika la...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya kutumia ndege kupambana na ujangili

Kenya inajiandaa kuanzisha mradi wa kutumia ndege zisizokuwa na rubani kuimarisha ulinzi katika mbuga za wanyama, kutokana na kuongezeka kwa ujangili

 

10 years ago

Michuzi

Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa

Kikosi cha kupambana na ujangili nchini kimepata vitendea kazi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii vitakavyowezesha kukabiliana na matukio ya ujangili yaliyoshika kasi nchini na kuhatarisha kutoweka baadhi ya wanyama.
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Utoro wakithiri shule za Dodoma

Mkoa wa Dodoma bado unakabiliwa na utoro wa wanafunzi, jambo linalosababisa idadi kubwa ya vijana kuzurura mitaani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Utovu wa usalama wakithiri S.Kusini

Maelfu ya watu nchini Sudan Kusini wanaoishi msituni karibu na mji wa Lir wanakabiliwa na mazingia hatari ya kiusalama.

 

5 years ago

Michuzi

WAWILI MBARONI KWA KUJARIBU KUINGIA MBUGA ZA WANYAMA KWA UJANGILI HUKU WENGINE WAKIMBILIA NCHI JIRANI YA KENYA Inbox x


Bunduki ya kivita aina ya AK47 ambayo imekamatwa wilayani Ngorongoro na Jeshi la polisi wakishirikiana pamoja na kikosi cha ujangili kanda ya Ziwa huko Oloshoo Kata ya Enguserosambu picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Sehemu ya risasi zilizokutwa kwenye magazine ya bunduki hiyo baada ya msako mkali wilayani Ngorongoro

Askari wa kikosi kazi cha Jeshi la Polisi akijaribu Silaha hiyo mbele ya waandishi wa habari kabla kamanda wa Jeshi hilo hajaongea nao leo jijini hapa

Kamanda Shana akiwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto wakithiri ngono, hawatumii kondom

SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono, imebainisha haja ya elimu ya afya ya uzazi kukabili hali ya sasa ya tabia hatarishi zinazowakabili vijana wadogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Utapeli wakithiri Kituo cha Mabasi Ubungo

Kama siyo mwenyeji wa jiji hili au kama hujatembelea maeneo ya Ubungo kwa muda mrefu unaweza kupoteza ramani ya hapa. Kwa sasa eneo hili lina mwonekano tofauti kiasi ukilinganisha na kipindi cha nyuma. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani