Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGOMO WA MADAKTARI KENYA WAKITHIRI

Maafisa wa afya wanaowakilisha madaktari na wauguzi wamesisitiza kuwa hawatasitisha mgomo wao hadi serikali itakapotimiza matakwa yao. Hii ni licha ya mahakama kutoa agizo kwa madaktari hao kusitisha mgomo wao ifikapo tarehe 24 Disemba.Lakini wamesema kuwa wako tayari kuendelea na mazungumzo na serikali kutafuta kusuluhisha kwa mgomo huo unaohusu wao kupokea mishahara yao kutoka kwa serikali za majimbo wala sio serikali kuu....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ujangili wakithiri Kenya

Mamlaka ya Kenya imekamata pembe za Tembo zinazoaminika zimetoka kwa Tembo wasiopungua 114

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghana:Mgomo wa madaktari wamaliza wiki 3

Nchini Ghana madaktari wamekuwa katika mgomo wa tangu wiki 3 zilizopita. Hospitali ya mjini Kumasi, mojawapo ya hospitali kuu nchini Ghana sasa imekuwa kama mahame, wengi wa wagonjwa wakilazimika kurudi makwao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mgomo wa waalimu Kenya waendelea

Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Kenya kimetoa ilaani ya siku 7 kwa serikali kutekeleza agizo la nyongesa ya mishahara kwa waalimu

 

10 years ago

BBCSwahili

Walimu wasitisha mgomo Kenya

Mgomo wa walimu nchini Kenya hatimaye umesitishwa.Walimu sasa watarudi shuleni ili kuendelea kufunza siku ya jumatatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shule zafungwa Kenya kutokana na mgomo

Wanafunzi wengi Kenya wamesalia nyumbani baada ya serikali kuagiza kufungwa kwa shule zote leo kwa sababu ya mgomo wa walimu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yasitisha mgomo wa walimu Kenya

Mgomo wa walimu nchini Kenya umesitishwa baada ya agizo la mahakama kwamba walimu warejee kazini wiki ijayo ikiwa afueni kwa wanafunzi

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus:Wauguzi wa wagonjwa waliombukizwa virusi vya corona Kenya waanza mgomo baridi

Wauguzi wanaofanya kazi katika wodi iliyotengwa kwa watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya wameanza mgomo baridi kulalamikia kile wanachodai kuwa ukuosefu wa vifaa vya kujikinga na mafunzo ya kutosha.

 

5 years ago

Bongo5

Rais Magufuli aamuru madaktari 258 walioomba kufanya kazi nchini Kenya waajiriwe nchini mara 1

Mnamo tarehe 18 Machi 2017 Ujumbe wa Serikali ya Kenya ukiongozwa na Waziri wa Afya Dkt. Cleopa Mailu uliwasili nchini ambapo ulikutana na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dhumuni la mkutano huo ulikua kuomba kuajiri, kwa Mkataba, Madaktari wa Tanzania mia tano (500), ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya.

Mheshimiwa Rais JPM, alikubali ombi hilo.

Mnamo tarehe 18 Machi, 2017, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

 

11 years ago

Mwananchi

Utoro wakithiri shule za Dodoma

Mkoa wa Dodoma bado unakabiliwa na utoro wa wanafunzi, jambo linalosababisa idadi kubwa ya vijana kuzurura mitaani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani