Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utovu wa usalama wakithiri S.Kusini

Maelfu ya watu nchini Sudan Kusini wanaoishi msituni karibu na mji wa Lir wanakabiliwa na mazingia hatari ya kiusalama.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Usalama waimarishwa Afrika Kusini

Maafisa zaidi wa polisi wametumwa katika maeneo yenye mashambulio dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.

 

11 years ago

Michuzi

mama pinda katika mkutano wa Dunia wa masuala ya Amani, Usalama na Maendeleo jijini Seoul, Korea Kusini.

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa tatu kushoto) akiwa na viongozi wakuu wakifuatilia mada kwenye mkutano wa siku moja ulioandaliwa na Shirikisho la Wanawake na Amani Duniani  (WFWP) kwenye ukumbi wa Jumba la Makumbusho la Kimkoo, jijini Seoul, Korea Kusini leo mchana (Agosti 11, 2014). Kutoka kushoto ni Balozi wa Uruguay nchini Korea, Alba Rosa Legnani, Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak na wa kwanza kulia ni mke wa Rais wa zamani wa Uruguay, Bibi Mercedes...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA ASHIRIKI MKUTANO WA DUNIA KUHUSU AMANI NA USALAMA JIJINI SEOUL,KOREA KUSINI

  Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (katikati) katika picha ya pamoja na Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese (kulia) na mkewe Bibi Filifilia Tamasese  (Agosti 12, 2014). Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Universal Peace Federation (UPF), Bw. Tageldin Hamad ambao wameandaa mkutano huo.    Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (katikati) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Universal Peace Federation (UPF), Bw. Tageldin Hamad (kushoto) ambao wameandaa mkutano huo. Kulia ni Dk....

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Tunu Pinda ahudhuria mkutano wa dunia kuhusu Amani na Usalama jijini Seoul, Korea Kusini

20140810_091140

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitambulishwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak, Rais wa WFWP (International), Prof. Yeon Choi Moon, Waziri Mkuu wa Timor Mashariki, Xanana Gusmao na mke wa Rais wa visiwa vya Samoa, Bibi Filifilia Tamasese (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

20140810_091211

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Tunu Pinda kwenye Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini

DSC03131

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akifuatilia matukio kwenye ukumbi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea Kusini.  Wa pili kulia ni Rais mstaafu wa Mali, Prof. Dioncounda Traore. Wa kwanza kushoto ni Rais wa Samoa, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese na mkewe Bibi Filifilia Tamasese. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

DSC03127

Baadhi ya wajumbe kutoka Kenya, Tanzania na Lesotho ambao wanashiriki Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama unaoendelea jijini Seoul, Korea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujangili wakithiri Kenya

Mamlaka ya Kenya imekamata pembe za Tembo zinazoaminika zimetoka kwa Tembo wasiopungua 114

 

10 years ago

Mwananchi

Utoro wakithiri shule za Dodoma

Mkoa wa Dodoma bado unakabiliwa na utoro wa wanafunzi, jambo linalosababisa idadi kubwa ya vijana kuzurura mitaani.

 

11 years ago

GPL

MGOMO WA MADAKTARI KENYA WAKITHIRI

Maafisa wa afya wanaowakilisha madaktari na wauguzi wamesisitiza kuwa hawatasitisha mgomo wao hadi serikali itakapotimiza matakwa yao. Hii ni licha ya mahakama kutoa agizo kwa madaktari hao kusitisha mgomo wao ifikapo tarehe 24 Disemba.Lakini wamesema kuwa wako tayari kuendelea na mazungumzo na serikali kutafuta kusuluhisha kwa mgomo huo unaohusu wao kupokea mishahara yao kutoka kwa serikali za majimbo wala sio serikali kuu....

 

10 years ago

Habarileo

Watoto wakithiri ngono, hawatumii kondom

SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono, imebainisha haja ya elimu ya afya ya uzazi kukabili hali ya sasa ya tabia hatarishi zinazowakabili vijana wadogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani