Shule ya Msingi Uhuru yafanikiwa kudhibiti utoro
Licha ya kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi, nidhamu yao na jitihada za walimu kupunguza utoro imekuwa siri kubwa ya mafanikio ya kitaaluma kwa Shule ya Msingi Uhuru iliyopo Manispaa ya Morogoro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNSSF YAADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU KWA KUFANYA USAFI SHULE YA MSINGI TANDALE
11 years ago
Habarileo14 Dec
Wafikiri kubadili kanuni kudhibiti utoro barazani
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amesema kamati ya uongozi ya Baraza la Wawakilishi inatazamiwa kukaa na kuangalia uwezekano wa kubadilisha kanuni za Baraza kwa ajili ya kudhibiti utoro wa wajumbe ambao ulisababisha kikao kuahirishwa kwa dakika 15.
11 years ago
MichuziSerikali yafanikiwa kudhibiti uvunaji haramu wa mazao ya misitu - Mafupa
Hayo yamesemwa na Meneja wa Wakala wa huduma za Misitu Tanzania kanda ya Kaskazini (TFS) bw. Cuthbert Mafupa wakati wa ziara ya waandishi wa Habari waliotembelea hifadhi ya Chome na ile ya Amani iliyipo mkoani Tanga ili kujifunza na kuona hatua...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
NECTA yafanikiwa kudhibiti udanganyifu na wizi wa mitihani ya taifa nchini
Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Bw. Daniel Mafie akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na Baraza hilo ikiwemo matumizi ya TEHAMA katika usajili wa watahimiwa na uchakataji wa matokeo ya Mitihani ya Taifa. Kulia ni Afisa Habari wa NECTA John Nchimbi.
Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Bw. Daniel Mafie akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar s salaam...
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Utoro wakithiri shule za Dodoma
10 years ago
Mwananchi18 Nov
400 waacha shule kwa mimba, utoro
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Wasichana 35 wafukuzwa shule kwa mimba, utoro
BODI ya Shule ya Sekondari Munkinya, Kata ya Dung’unyi wilayani Ikungi, Singida imewafukuza shule wanafunzi 35 kwa sababu za utoro, mimba na ukosefu wa nidhamu. Mkuu wa Shule hiyo, Joseph...
10 years ago
Michuzi12 Apr
10 years ago
MichuziWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.