Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafikiri kubadili kanuni kudhibiti utoro barazani

Pandu Ameir KifichoSPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amesema kamati ya uongozi ya Baraza la Wawakilishi inatazamiwa kukaa na kuangalia uwezekano wa kubadilisha kanuni za Baraza kwa ajili ya kudhibiti utoro wa wajumbe ambao ulisababisha kikao kuahirishwa kwa dakika 15.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Shule ya Msingi Uhuru yafanikiwa kudhibiti utoro

Licha ya kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi, nidhamu yao na jitihada za walimu kupunguza utoro imekuwa siri kubwa ya mafanikio ya kitaaluma kwa Shule ya Msingi Uhuru iliyopo Manispaa ya Morogoro.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA kubadili baadhi ya kanuni

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA lina mpango wa kuzifanyia marekebisho kanuni zake ili kuzibana nchi zinazowania kuandaa Kombe la Dunia.

 

11 years ago

Habarileo

Kanuni kudhibiti matumizi ya mtandao

WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa wizara yake inatayarisha Kanuni, zitakazodhibiti matumizi mabaya ya mtandao wa intaneti, ikiwemo uwekezaaji wa picha chafu mtandaoni.

 

9 years ago

Vijimambo

Uzinduzi wa kanuni ya kudhibiti matumizi ya misumeno ya moto

Baadhi ya misumeno ya moto iliokamatwa katika sehemu mbalimbali ambayo ikitumika katika kukata miti ikiwa imewekwa kusubiri kuangamizwa kwa moto katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.Wafanyakazi wa Kilimo na mali ya Asili wakikusanya kuni kwa ajili ya kuichoma moto Misumeno ya moto iliokamatwa sehemu mbalimbali katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.Mkurugenzi wa Idara ya Misitu...

 

11 years ago

Mwananchi

BARAZANI: Waziri atishia kujiuzulu Z’bar

>Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Issa Haji Ussi amesema yuko tayari kuachia nafasi yake endapo itagundulika kauli zake zinadanganya na kushusha utendaji wa Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vyachafua hali ya hewa Barazani

>Hali ya hewa katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar ilichafuka jana baada ya hoja binafsi kuhusu kuwapo kwa urasimu na ucheleweshaji wa kutolewa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi (Zan ID) iliyowasilishwa na Mwakilishi wa Ole (CUF), Hamad Masoud Hamad .

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ngeleja amlipua Zitto Kabwe Barazani




NA MARIAM MZIWANDA.MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amemgeuzia kibao Zitto Kabwe kuwa ni mmoja kati ya watu walionufaika na fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow.
Ngeleja, amemtaja Kabwe (Mbunge wa Kigoma Kaskazini), kuwa amejipatia zaidi ya sh. milioni 30 na hakuna mamlaka, likiwemo Bunge zilizochukua hatua dhidi yake.
Aliyasema hayo jana wakati akitoa utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, ambapo alikiri kupata fedha kiasi cha sh. milioni 40 kutoka kwa Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Taarifa za utekelezaji mikataba ya kimataifa kuwasilishwa Barazani

WIZARA ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Wanawake Vijana na Watoto ya Zanzibar imesema kuanzia sasa taarifa zinazohusu utekelezaji wa mikataba ya kimataifa ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake zitawasilishwa pia katika Baraza la Wawakilishi.

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM YAIPIGA JEKI SHULE YA BARAZANI MANYARA‏

Diwani wa Kata ya Maghay, wilayani Mbulu mkoani Manyara Bw.Nicodemus Michael (kulia) na Kaimu Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini, Michael Kabusi wakikata utepe kuashiria makabidhiano ya jengo la darasa la shule ya msingi Barazani iliyoko wilayani Mbulu mkoani Manyara, lililojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Barazani iliyoko wilayani Mbulu mkoani Manyara wakishuhudia tukio la makabidhiano ya jengo la darasa lililojengwa kwa msaada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani