Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi waacha shule, wakimbilia ndoa

SHULE ya sekondari Hunyari iliyoko katika wilaya ya Bunda mkoani Mara, inakabiliwa na utoro mkubwa wa wanafunzi kutokana na baadhi yao kukatisha masomo kwa kuolewa na wengine kuchunga mifugo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi waoa wake 3, waacha shule

HALI si shwari katika sekta ya elimu katika wilaya za Kalambo na Sumbawanga mkoani Rukwa, baada ya kuelezwa idadi kubwa ya wanafunzi wa kiume katika shule za sekondari hukatisha masomo ili kujikita katika kutunza familia, kwani wengi wao ni waume za watu, wengine wakiwa na wake hadi watatu.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi 279 kati ya 320 waacha shule

KATI ya wanafunzi 320 walioanza kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Abeid Amaan Karume iliyopo Bahi Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ni wanafunzi 41 tu waliofanikiwa kufika kidato cha nne.

 

10 years ago

Mwananchi

400 waacha shule kwa mimba, utoro

Zaidi ya wanafunzi 400 wilayani hapa, mkoani Morogoro wameshindwa kuendelea na masomo ya sekondari kwa kwa sababu mbalimbali, ikiwamo ujauzito na wengine kukimbilia katika biashara ya uchimbaji wa madini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasichana 700 wapata mimba, waacha shule

Zaidi ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 na 19 ambao walikatisha masomo kwa sababu ya mimba katika shule za msingi na sekondari Wilaya ya Kahama, wamejitokeza kupatiwa elimu ya uzazi wa mpango na ujasiriamali inayotolewa na Shirika la Kiota Women Health Development (Kiwohede) la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.

Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, akikata utepe ili kufungua Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Muhimbili, iliyokarabatiwa na kuweka viti 29 na meza 8 na wanafuzi waliohitimu darasa la saba katika shule hiyo Mwaka 1988, pamoja na kiti na meza ya kisasa katika ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao ikiwa imehudhuliwa na walimu wa shule hiyo wa tangu mwaka 1978. Walimu wa Shule ya Msingi Muhimbili wakifurahia kupewa viti vipya pamoja na meza na...

 

11 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

11 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

11 years ago

GPL

JHIKOMAN ATEMBELEA SHULE YA MUZIKI YA REUTLINGEN,UJERMANI : WANAFUNZI NA WAKUU WA SHULE WAAHIDI KUTEMBELEA BAGAMOYO ! KILA WAKATI

Darasa la muziki katika taasisi ya shule ya muziki Reutlingen,Ujerumani . Jhikoman akiwafundisha wanafunzi kutumia gitaa katika shule ya muziki Reutlingen.…

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi waharibu shule

WANAFUNZI wa shule ya msingi na sekondari ya St Anne Marie Academy ya Dar es Salaam, wamefanya vurugu zilizoambatana na uharibifu mkubwa wa mali ikiwamo kuvunja vioo vya magari, mabweni, madarasa na kompyuta, chanzo kikidaiwa kuwa ni hatua ya uongozi wa shule kuwapa walinzi mamlaka makubwa ya kuwaadhibu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani