Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi waoa wake 3, waacha shule

HALI si shwari katika sekta ya elimu katika wilaya za Kalambo na Sumbawanga mkoani Rukwa, baada ya kuelezwa idadi kubwa ya wanafunzi wa kiume katika shule za sekondari hukatisha masomo ili kujikita katika kutunza familia, kwani wengi wao ni waume za watu, wengine wakiwa na wake hadi watatu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi waacha shule, wakimbilia ndoa

SHULE ya sekondari Hunyari iliyoko katika wilaya ya Bunda mkoani Mara, inakabiliwa na utoro mkubwa wa wanafunzi kutokana na baadhi yao kukatisha masomo kwa kuolewa na wengine kuchunga mifugo.

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi 279 kati ya 320 waacha shule

KATI ya wanafunzi 320 walioanza kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Abeid Amaan Karume iliyopo Bahi Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ni wanafunzi 41 tu waliofanikiwa kufika kidato cha nne.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake waoa wake wenzao Tanzania

Je umewahi kusikia mwanamke amuoa mwanamke mwezake? basi hii ndio hali halisi nchini Tanzania ambao wanasema ni utamaduni wao

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Dar es Salaam, wanafunzi wake wanufaika na mradi wa kompyuta mashuleni

006.MTAKUJAWanafunzi wa kidato cha pili wa  shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza mwalimu wao wa masomo ya Sayansi Elibariki John,akiwafundisha somo hilo kwa vitendo kupitia kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.

002.MTAKUJAMwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasichana 700 wapata mimba, waacha shule

Zaidi ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 na 19 ambao walikatisha masomo kwa sababu ya mimba katika shule za msingi na sekondari Wilaya ya Kahama, wamejitokeza kupatiwa elimu ya uzazi wa mpango na ujasiriamali inayotolewa na Shirika la Kiota Women Health Development (Kiwohede) la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

400 waacha shule kwa mimba, utoro

Zaidi ya wanafunzi 400 wilayani hapa, mkoani Morogoro wameshindwa kuendelea na masomo ya sekondari kwa kwa sababu mbalimbali, ikiwamo ujauzito na wengine kukimbilia katika biashara ya uchimbaji wa madini.

 

9 years ago

Bongo Movies

Maneno Haya ya Lulu Kwenye Picha Hii ya Waacha Hoi Mashabiki Wake

Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha watu hoi baada ya kubandika picha hiyo hapo chini ikimuonyesha yeye na baba yake mzazi ‘Mzee Michael’ na kumwagia sifa baba yake huku akiomba dua aje kuzaa mtoto atakaye fanana na baba yake (Mzee Michael) kitendo ambacho kila shabiki yake mtandaoni alikuwa na yake ya kusema.

LULU542

“Le Mbebe…! Le Super Handsome🙌🙌🙌🙌Le Twinnie💖💖💖
Mzaa Chema…Mzee Michael..!!!
Ewe Mtoto Wangu WA...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.

Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, akikata utepe ili kufungua Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Muhimbili, iliyokarabatiwa na kuweka viti 29 na meza 8 na wanafuzi waliohitimu darasa la saba katika shule hiyo Mwaka 1988, pamoja na kiti na meza ya kisasa katika ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao ikiwa imehudhuliwa na walimu wa shule hiyo wa tangu mwaka 1978. Walimu wa Shule ya Msingi Muhimbili wakifurahia kupewa viti vipya pamoja na meza na...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani