Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGA RAHA HABARI NDIYO HII WAJA LEO MARA MWEZI

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

YANGAYA KIMATAIFA BAADA YA MICHEZO YA LEO HII NDIYO HABARI MUJINI

Mtokea ya michezo ya leo ya ligi ya VPL na Kimataifa kwa timu ya wanawake Twiga Stars aka vitaulo.Timu ya simba imefikisha point 32 baada ya kushinda mechi yake ya Leo.Simba imeshinda goli 3-0 dhid ya Ruvu shooting...Magoli ya Simba yamefungwa na. Ibrahim Ajib dk ya 60 kwa penati, HawadhJuma, dk ya 61 na goli la 3 na elias Maguli dk ya 75.
COASTAL UNION YAPIGWA NA AZAMTimu ya Azam imeshinda 1_0 dhidi ya coastal union katika Uwanja waMkwakwani,Tanga.Goli la Azam FC lilifungwa na John boko...

 

10 years ago

Mwananchi

Sherman, Coutinho waja leo Tanga

Ni dhahiri Yanga inaingia Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kuikabili Coastal Union huku ikisutwa na kiwango duni cha washambuliaji wake, akiwamo Kpah Sherman ambaye amecheza dakika 360 bila bao.

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIYO YANGA YANYAKUWA UBIGWA MARA YA 24


Shabiki wa Yanga akifurahia UBIGWA baada ya kuibwaga polisi Moro bao 4 kwa 1.Simon Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada yaTabwe kuipatia timu yake bao la katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshida 4-1. (Picha na FrancisDande)Mashabikiwa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe.MshambuliajiWa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezowa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara...

 

10 years ago

GPL

MAPIGANO NA MAGAIDI TANGA HII NDIYO FULL STORY

Na Mwandishi Wetu, Tanga NI kama kumekucha! Siku chache tu baada ya Gazeti la Ijumaa (ndugu na hili) kuandika ukurasa wake wa mbele habari yenye kichwa; Kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini...NI HUYU, kundi jingine limeibuka na kuandika mkanda wa video wakizungumzia uhalifu. Moja ya…

 

11 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani